Wabunge wetu na mabinti wa vyuo!

Hao mabinti wanapewa fedha kidogo za mikopo ambayo ni kama Tsh.5,000 kwa siku kwa ajili ya chakula na malazi na wabunge wamekataa kuwapigania waongezewe mikopo. Wabunge wao wanapewa fedha nyingi zaidi Tsh.100,000 kwa siku na wabunge nao hawataki posho zao zipunguzwe.

Kwa hiyo kinachofanyika ni kuwa wanafunzi wanajiongezea posho zao za siku kwa njia hiyo na wabunge wanajipunguzia posho zao za siku kwa njia hiyo. Hapo panaeleweka?

Contra entry "C" ya maisha
 
sio umaskini bali ni ulimbukeni sio kwa wabunge hata mitaani wasichana wanatendewa unyama bila kujua maisha ni matamu sana lakini kwa hili la HIV tuliangalie kwa mapana sana wengi wao wamesha oza ukikuta anamke akifika ungeni anakuwa na kimwana ujue afaya yake ninamashaka sana nayo. the same hata mitaa tunawaona wengi wameshaasilika kwa hiyo dada zetu msipende hela sana huku tuje tuwazike kwa miaka michache ijayo. si mnajua hakuna dawa mpaka leo hii inayoaminika kutibu kaugonjwa ketu. kuweni makini na wengi hawatumii hata condom maana wanataka wawakomeshe kwa sababu ya hela aliyompatia.
 
Mwenye makalio na ayatumie(ayakalie).Tunapo waambia umalaya unasababiswa na umasikini mna kataa sasa je?
 
Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?

Nawakilisha wadau!!!

Safari hii tumeweka vipandikizi sehemu mbalimbali za wageni Dodoma, muda si mrefu tutaweka picha zao humu jamvini mheshimiwa akiwa suruali nusu mlingoti.
 
Mi nnaye mjua kwa tabia za kuchukua wanafunzi ni magufuri labda awe ameacha
sasa

Magufuri alikuwa anagonga mtoto mmoja UDSM alikuwa anasoma geology anaitwa Sundi.Alimaliza mwk 2006 akiwa na mtoto aliyeitwa pombe.Ilikuwa patashika pindi mh anapofka kwenye hostel mabibo rum mate wake wanapewa hela ya kununua soda wakitoka tu,vtu vya 6x6 vinashika hatam. Wakirudi tu wanakuta mh anatokwa na kijasho chembemba huku akilalama kwa utani ''Du hamkawii''
 
Sasa unataka dada zetu wakale nyasi na K.....u......m.......a wanazo! waache bwana watumie rasilimali zao wapate kuishi hapa duniani, after all wale ni watu wazima wanahitaji wasuguliwe kama wanawake wengine wote.
 
Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?

Nawakilisha wadau!!!
wanafunzi wa chuo kikuu unawaita watoto?wanafunzi wa chuo ni zaidi miaka 18,wanaruhusiwa kuoa/kuolewa hivyo sioni kama anaharibiwa maisha kwani ana akili za kutosha.Pengine mabinti ndio wanawaharibu wabunge kwa kuwachuna.Lakini vilevile ungetakiwa uwe na ushahidi kwani hizi tuhuma ni nzito
 
sasa mbona hapo tatizo sio la wabunge peke yao pia hao wadada wanaosoma UDOM pia wawajibishwe
 
Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?

Nawakilisha wadau!!!

Duhh ndo mwanzo wa kumegewa hivi hivi dahh
 
Kaka una ushahidi? unajua hizi tuhuma ni nzito, au ni ile kauli ya JK kwamba jamaa wapunguze ngono.

Kama ni kweli ndio sababu posho zao hazitoshi, Wakiambiwa wapunguze wanakuwa wakali kama mbogo.

Kama Hamad Rashid anasema chumba 80,000 na anaona 150,000 ni sawa. Tunaolala vyumba vya 20,000 ni mbwa?!
 
Mie nipo hapa Dodoma,

Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!

Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?

Nawakilisha wadau!!!

hao unaowaita watoto wana umri gani? na kwani ni lazima wajirushe na wabunge? hawawezi kukataa?
 
Mkuu mimi sina shida na kuchukuliwa kwa mabinti. Sisi tunataka ukisoma elimu iweze kukukomboa utambue baya na zuri.lakini unapokuwa unasoma chuo kikuu harafu unachukuliwa kama changu doa elimu haijakusaidia. waache tu elimu ikiwasaidia wataacha.
 
Last time I checked, all university students are above 18! They are adults! No one coerces them to sleep with MPs, they get money and leisure in return when they do that. Now stop whining-let them use each other.
 
Yote hiyo inatokana na tofauti ya posho kati ya wabunge na hao wanafunzi, wale wanafunzi wa kiume wao hula makombo baada ya wabunge kuwa wamewarejesha hao mabinti wa chuo maeneo yao ya vyuo.
 
Mwana J2 mida ya nane night nilimuacha naibu waziri ndani ya club 84 Dom, alikuwa na marafiki wa kiume na kike wanakula muziki. Naibu huyu kafunguliwa kesi ya kupinga matokeo jimboni kwake, diwani wa kata yake anatokea CHADEMA, ana bar yenye jina la asili ya mkoa alikozaliwa ipo tabata. Inasadikiwa wakati wa uchaguzi gari yake ilikamatwa na masanduku ya kura, Herufi common kwenye majina yake ni "M".
Pamoja na kwamba alikuwa akifurahi bila kufanya chochote cha ajabu, lakini mazingira yale hafanani nayo.
Mh. naibu waziri kuwa viwanja vile muda ule na wale mabiti mliokaa meza moja kwa mwonekano ule unacreate so many questions about your norms and values? You have to be so selective na maeneo ya kujirusha na aina ya marafiki muheshimiwa. Nadhani ujumbe utakufikia.
 
Yote hiyo inatokana na tofauti ya posho kati ya wabunge na hao wanafunzi, wale wanafunzi wa kiume wao hula makombo baada ya wabunge kuwa wamewarejesha hao mabinti wa chuo maeneo yao ya vyuo.

Suala la wanafunzi wa kike wa chuo kutembea na wabunge halina uhusiano na posho wanzopewa wanafunzi, la sivyo tungeona hata wanafunzi wa kiume nao wanatembea na wabunge ili kuweza kujikimu.

Natarajia msomi wa chuo kikuu akiona posho anayopewa haitoshi, adai aongezwe maana akipata ajira atailipa. Sasa jiulize kama UDSM walipoandamana kudai nyongeza ya posho waliungwa mkono na wanafunzi wa vyuo vingine, japo hata kwa kutoa tamko? Mbona matamko ya kisiasa wanatoa wakitumwa? Kwahiyo, wanafunzi kutembea na wabunge ni njia haramu ya kujipatia kipato cha ziada (anybody will be better off with extra cash) na sio sababu ya posho kutokutosha.
 
Mwana J2 mida ya nane night nilimuacha naibu waziri ndani ya club 84 Dom, alikuwa na marafiki wa kiume na kike wanakula muziki. Naibu huyu kafunguliwa kesi ya kupinga matokeo jimboni kwake, diwani wa kata yake anatokea CHADEMA, ana bar yenye jina la asili ya mkoa alikozaliwa ipo tabata. Inasadikiwa wakati wa uchaguzi gari yake ilikamatwa na masanduku ya kura, Herufi common kwenye majina yake ni "M".
Pamoja na kwamba alikuwa akifurahi bila kufanya chochote cha ajabu, lakini mazingira yale hafanani nayo.
Mh. naibu waziri kuwa viwanja vile muda ule na wale mabiti mliokaa meza moja kwa mwonekano ule unacreate so many questions about your norms and values? You have to be so selective na maeneo ya kujirusha na aina ya marafiki muheshimiwa. Nadhani ujumbe utakufikia.
Nadhani unamaanisha MA-SPACE, si ndiyo eeh! Huyu ni muhumini wa siasa za ngono, tena ngono zembe.
 
Back
Top Bottom