Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
poverty ndo sababu!..
hao mabinti wanapewa fedha kidogo za mikopo ambayo ni kama tsh.5,000 kwa siku kwa ajili ya chakula na malazi na wabunge wamekataa kuwapigania waongezewe mikopo. Wabunge wao wanapewa fedha nyingi zaidi tsh.100,000 kwa siku na wabunge nao hawataki posho zao zipunguzwe.
Kwa hiyo kinachofanyika ni kuwa wanafunzi wanajiongezea posho zao za siku kwa njia hiyo na wabunge wanajipunguzia posho zao za siku kwa njia hiyo. Hapo panaeleweka?

Mie nipo hapa Dodoma,
Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!
Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?
Nawakilisha wadau!!!
Hao mabinti wanapewa fedha kidogo za mikopo ambayo ni kama Tsh.5,000 kwa siku kwa ajili ya chakula na malazi na wabunge wamekataa kuwapigania waongezewe mikopo. Wabunge wao wanapewa fedha nyingi zaidi Tsh.100,000 kwa siku na wabunge nao hawataki posho zao zipunguzwe.
Kwa hiyo kinachofanyika ni kuwa wanafunzi wanajiongezea posho zao za siku kwa njia hiyo na wabunge wanajipunguzia posho zao za siku kwa njia hiyo. Hapo panaeleweka?
Wanawaharibia maisha kivipi?,kwa uelewa wangu mtu akiwa chuoni ni mtu mzima so anajua anachofanya,pia hao viongozi nafikiri hawawakamati kwa nguvu hao mabinti,wanakuwa nao kwa maridhiano yao wenyewe?,au umenyang'anywa na mbunge?,mulaumu huyo msichana wako kuwa weak na kukuacha wewe na kumfuata mwenye nacho!