Wabunge wengi wa CHADEMA wameficha CV zao kwenye tovuti ya Bunge

Kijana mwenzangu jeska ni mbunge wa chadema? Pili baba jeska ni mbunge pia wa chafema? Mbona unashindwa kuelewa uzi unataka nini na wew unaongea nin na ndo maan nmeomba cv za wabunge wako labda ntaelewa na wanachama wao kama wew uliyekuwa ukizungusha mikono
Na ww endelea kuzungusha kiuno bc ..unataka cv za hao wabunge ili iweje?
 
Anza na hao nliokupa sisi tunazungusha mikono wewe unamzungushia kiuno nape kazana
 
Na ww endelea kuzungusha kiuno bc ..unataka cv za hao wabunge ili iweje?
Kijana wa kuzungusha mikono....mbunge wako ni nani kwanza au ni mh mbilinyi ambaye kwa ufupu nmeambiwa alikimbia umande yaan hakumaliza shule akakimbilia kuimba na leo hii ndo mbunge wako.....na unategemea akuletee maendeleo mtu ambaye hajasoma
 
Wasalam wanaJF

Nngependa kupewa CV za wabunge hawa wa chadema [ukawa]
1.mh mbilinyi mbunge wa mbeya
2.mch msingwa mbunge wa iringa
3.mh kubenea mbunge wa ubungo
4.mh Lema mbunge wa arusha
5.mh nasari mbunge wa arumelu
....
Naomba npewe CV za hawa mabwana watano ili nweze kuelewa mawazo yao wakiwa bungeni na uwezo wao kitaaluma....nngependa kujua wamesoma hadi kufikia wapi.
....hii imekuja baada ya kuwasikiliza hotuba zao mbali mbali na misemo waitumiayo wakiwa ndani ya bunge hadi nje ya bunge na ikanipa tabu kidogo kuelewa uwezo wao wa kufikiri plus elimu walizonazo...
Asanteni

Wengine wenye CV kuunga unga hawa
Lisu Tundu
Mbowe
 
Kijana wa kuzungusha mikono....mbunge wako ni nani kwanza au ni mh mbilinyi ambaye kwa ufupu nmeambiwa alikimbia umande yaan hakumaliza shule akakimbilia kuimba na leo hii ndo mbunge wako.....na unategemea akuletee maendeleo mtu ambaye hajasoma
Sasa yeye alikimbia umande saizi anakutungia sheria kukupitishia bajeti we umekimbia umande na sahizi umewekwa unyumba na nape nani bora? Kijana hata hela ya sukari huna, account inasoma nill, hauna akili ya kujiajiri, huajiriki halafu upo bize kuwasema wapinzani
 
Back
Top Bottom