Wabunge wengi wa CHADEMA wameficha CV zao kwenye tovuti ya Bunge

Wa kwanza ni John Mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Hiyo sentensi yako ndiyo imefanya uzi wako huu uonekane majungu na umbea. Sijui scores za Form VI za Mnyika but I can bet my neck Mnyika ana degree ya UDSM.
 
Ulivyosema mnyika alifeli form six mwaga uthibitisho wa matokeo yake, umekataa kuwa hana degree eleza ana hold nini, halafu unaweza kumfananisha mnyika na mbumbumbu gani wa nyinyiem?ole sendeka,lusinde,maji marefu,komba n.k wahahold kitu gani?

Ole Sendeka alimaliza Old Moshi FORM 6, Kati ya miaka ya 1987-1989, na alipata 0 ya PCB, Naubu waziri wa Mali asili ( Rais wa UKWATA-TZ, enzi hizo) alimaliza Ilboru kati ya 1991-1992, with DIV 1V. Lakini wote hao wanajitahidi sana kwenye kazi zao.
 
CV tu imezua mjadala? Si waziweke tu au bunge lililazimishe kila mbunge aweke CV yake

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Cha kushangaza wabunge wengi wa chadema wamesusa.

Utafiti umebaini kuwa walioficha wengi cv zao ni mgogoro.

Wa kwanza ni John Mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa Mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internet na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema.

Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije mkatuuzia vibudu kwenye magunia


ni kwel Mnyika hana digree ila ana DEGREE.
 
toka lini jiwe likawa na cv? Wengi wao ni mbumbumbu wanategea nguvu ya umma
Ni aheri jiwe kuliko...


5dba17ed-d868-b112.jpg


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi niliwahi kusoma na John John Dalali Mnyika huko Maua Seminary na nakumbuka katika form four ile ya mtihani ulioahirishwa (mwaka 1998) alipata Div I ya points 7 akiwa na A kumi na alikua mwanafunzi wa kwanza nchi nzima. Alienda Azania ama Tambaza (ni Tambaza) A-Level ambako sina hakika sana na matokeo yake japo wadau waliwahi kunijuza kwamba mara ya kwanza aliharibu ila alipata point chache aliporudia mtihani. Sijui kama kuna mwenye Data zaidi!
 
kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Cha kushangaza wabunge wengi wa chadema wamesusa.

Utafiti umebaini kuwa walioficha wengi cv zao ni mgogoro.

Wa kwanza ni john mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internet na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema.

Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije mkatuuzia vibudu kwenye magunia
sikiliza we gamba uliyetumwa na nape.kidato cha kwanza mpaka cha nne mnyika kasoma maua seminary alipata dv one ya point 7,alikuwa na a 9 na b moja,kidato cha sita alipata dv two lakini sio maua,kifupi jamaa zimo.kwa hiyo tuondolee umbeya wako.gamba mkubwa wewe,shame on you!
 
Hawana lolote, ndio maana wanaficha CV zao, wengi wao shule haijapanda, ni udomo kaya tu. Huyo Mnyika kumbe hata degree hana:A S thumbs_down: bure kabisa

Hao wenye cv za maana wanafanya mambo gani ya maana kumzidi Mnyika. Punguza kupayuka ufiche upumbavu wako:A S thumbs_down:
 
Wapo maprofesa na madokta hakuna walilofanya. Tunaangalia results na si elimu isiyo na tija kwa taifa. Mnyika ni kichwa cha kuzaliwa si lazima aende shule.
 
CHADEMA mara wasomi mara nn. CHADEMA leteni CV zenu. Mbona kujificha? Mbowe je?
 
Hao wenye cv za maana wanafanya mambo gani ya maana kumzidi Mnyika. Punguza kupayuka ufiche upumbavu wako:A S thumbs_down:

Dalili za kushindwa ni visingizio na kutafuta vitu ambavyo havihusiani kabisa na sababu za kushindwa kwako. Huyu anakata roho anachofanya ni kuweweseka hajui afanyalo msameheni ila jueni roho ya CCM ilikwisha toka siku nyingi kilichobaki ni kiwiliwili kinatapatapa.
 
Baadhi ya cv zinaanza kupatikana. Freeman mbowe ni utata mtupu, inaonesha ameishia for six ingawa hataji ni wapi. Anataja kuwa amewahi kuwa bank officer wa bank kuu ya tanzania. Nimefuatilia pale bank kuu wamenihakikishia hakuna cheo kama hicho banki kuu ya tanzania. Awaeleze ukweli wa tanzania alikuwa anafanya kazi gani benki kuu na kilichomfanya aondoke pale na kuwa disko joker ninini. Mheshimiwa mmoja pale benki kuu amenichekesha kuwa unaamini afisa mkubwa wa benki kuu anaweza kufanana na freeman mbowe?? Akasema hawa ni macheki boku wa mjini wanaishi kwa midomo yao na kamwe si vichwa vyao. Bado tutachunguza tukipata ukweli tutawaelimisha wa tanzania.
Kihiyo mwingine ni msigwa wa iringa. Yeye inaonesha ameishia form four. Sasa swali hawa siyo uamsho kweli maana wachungaji wanafahamika kwa kuipiga shule sijawahi kuona mchungaji wa kidato cha nne.
Sugu masikini yeye kakubali yaishe. Ameishia form four na alikuwa mgambo wa bp kabla ya kuanza kucheza disko
 
Dah, shame upon us, yaani tunaacha kuongelea mambo ya maendeleo ktk kujikwamua na na umasikini kama vile madini yetu yanayogundulika kila kukicha lakini hayatoi faida kwa wazawa, wanyama wetu wanasafirishwa nje ya nchi kwa ndege za Qatar Air bila, watu wanamaisha magumu kuliko Somalia,, gharama za kuishi zinaongezeka kila siku, vyakula vinapanda bei, shilingi yetu inaporomoka kwa kasi, maradhi na magonjwa yanatukabidhi kila tukiamka, watoto wetu wanakaa chini hakuna hata box achilia mbali dawati, leo tunatumia hii nafasi ya pekee tuliyopewa kati ya wachache ndani ya Tanzania kutoa maoni kuhusu CV za watu?? CV? au hii ndiyo Katiba mpya? hivi hii inaongeza nini katika katiba mpya tunayoijadili kwa sasa? Au hii inamsaidia nini mwananchi anayekosa huduma ya afya kule hospitalini? Ninawaombeni ndugu zangu tuliojaliwa kuwa na hivi vifaa vya mawasiliano, na utashi wa kutchangia maoni, basi tuvitumie kwa faida ya taifa na watu wake. Tuacheni ubinafsi ambao hutufanya tukasahau uhalisi wetu na mustakabadhi wa maisha yetu.

Fikiria wewe ni miongoni mwa wachache waliotumwa kulikomboa taifa hili.... usiulize Tanzania imekufanyia nini kwa kipindi cha miaka 50ya kujitawala, bali jiulize Wewe Mtanzania umeifanyia nini Nchi yako tangu ulipozaliwa???
Tanzania itajengwa na wenye moyo wa uzalendo..Watakao kuwa tayari kutoa na kujitoa zaidi ya kupokea na kujitwalia....
 
Nilikuwa napita tuu.....nikataka kuchangia nikasita maana naona kumbe ni mambo yenu ya utani wa jadi
 
Km kweli alieweka hii mkada(MMWAISOBA) ccm bas ananifanya niamini kua kwass ccm hawana chochote cha kuiponda CHADEMA na kikaleta maana mbele ya wananchi hasa hasa km sisi tusokua na ushabiki wa kichama...kwan nilishawah kumckia naibu spika wa bunge ndugu Ndugai akiiponda chadema kwa kuvaa magwanda ya aina ilee,na mengine mengi ambayo km si wanachama wa CCM bas ni viongoz wao wanayoyaropoka kuiponda CHADEMA mbele ya jamii......kweli nimeamini kwass CCM kushneyyyy(imekwishaaaaa).....:sad:
 
nenda kamulize olesendeka ana division ngapi form six? aliabisha seminary kwa kupata division ziro. wakati mwingine fikiri kabala ya kulipuka mbea mkubwa we.
 
Back
Top Bottom