Wabunge wengi wa CHADEMA wameficha CV zao kwenye tovuti ya Bunge

mmwaisoba

JF-Expert Member
May 20, 2012
434
24
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Cha kushangaza wabunge wengi wa chadema wamesusa.

Utafiti umebaini kuwa walioficha wengi cv zao ni mgogoro.

Wa kwanza ni John Mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu form six lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree.

Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa Mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internet na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema.

Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije mkatuuzia vibudu kwenye magunia
 
Bora yeye alieficha cv yake kuliko waliotoa cv za uongo. Ni chuo gani dr. mary nagu, dr. william mgimwa, dr. mary wanjelwa, dr. maji marefu walidoctirate na kuitwa madr.
 
Anza kuweka CV yako na ya mkeo kama unadhani wako busy kuomba kazi badala ya kutumikia wananchi, wale waliowachagua hao wabunge wanajua cv zao, Hio kazi ya kufatilia maisha ya watu kwetu hufanya akina mama na huitwa wambea na watu walio kosa akili na kazi.
 
Pole kwa uelewa wako mdogo,njoo kwetu kuna mwilembe(mhunzi)wa kunyosha akili zilizopinda kama zako,kudandia usichokijua kuhusu Nyundo(Mnyika) inayofanya kaz. ya ukweli ndani na nje ya bunge.
 
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Chakushangaza wabung wengi wa chadema wamesusa. Utafiti umebaini kuwa wlioficha wengi cv zao ni mgogoro. Wa kwanza ni john mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu formsix lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree. Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internate na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema. Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije kmatuuzia vibudu kwenye magunia

We co mzima (Hilo ndo nawezachangia tu)
 
Tunashindana kutukanana? Au tunaondoana mashaka? Kama kuondoana mashaka tungempa m2ma posti fact ana vielelezo , tunashindana kuposti thread nyingi? Au tunaposti thread ili kuelimshiana na kuhabarishana? Maana kama ni kuelimishana na kuhabarishana hii thread haina maana b,cause huwezi kusema mnyika kafeli form six alafu jina lake liko kwenye website ya udsm.
 
Kwani wanaona shida gani kuzibandika tuziöne?. Kama Mbowe, hajajaza hata shule ya msingi.
 
Nimesomea sound system na video production. Nina lifetime experience ya kucheza DISCO!
 
Kwani wanaona shida gani kuzibandika tuziöne?. Kama Mbowe, hajajaza hata shule ya msingi.

Mnaacha kufuatilia maendeleo na mustakabali wa nchi mnaibua hoja zinazohusu watu binafsi,kweli tumepumbazwa na tumepumbazika,kama ndo hivi basi sina sifa ya u GT
 
Kila mbunge wa jamuhuri anatakiwa kuweka cv yake kwenye mtandao wa bunge. Chakushangaza wabung wengi wa chadema wamesusa. Utafiti umebaini kuwa wlioficha wengi cv zao ni mgogoro. Wa kwanza ni john mnyika. Yeye aliwahi kudanganya eti ana one ya point tatu formsix lakini kukweli ni kwamba alifeli form six na hana digree. Sasa hii ni hatari hailingani na kupayuka kwa mnyika katika kila jambo kumbe ni ukasuku wa internate na kupewa miongozo na conservative party pamoja na dhlakama wa renamo ambao kwa sasa ni washauri wa karibu wa chadema. Wekeni wasifu wenu jamani tuwafahamu msije kmatuuzia vibudu kwenye magunia
Wewe mwenyewe umejificha na ID feki Kama sisi jiweke wazi wewe mwenyewe halafu ulizie vya wenzako
 
toka lini jiwe likawa na cv? Wengi wao ni mbumbumbu wanategea nguvu ya umma
 
Hapana, msianze kudai CV sijui ya Komba, mara Rage,etc. Topic presenter asked you as to why the CVs of most CDM leadears are hidden. Mnatakiwa mumjibu kwa hoja na sio kufananisha mara CV ya nani na nani. Hao mnaotaka CV zao si muende kwenye site ya Bunge? One ya tatu? Which combination?
 
Ulivyosema mnyika alifeli form six mwaga uthibitisho wa matokeo yake, umekataa kuwa hana degree eleza ana hold nini, halafu unaweza kumfananisha mnyika na mbumbumbu gani wa nyinyiem?ole sendeka,lusinde,maji marefu,komba n.k wahahold kitu gani?
 
magufuli
 
Tunashindana kutukanana? Au tunaondoana mashaka? Kama kuondoana mashaka tungempa m2ma posti fact ana vielelezo , tunashindana kuposti thread nyingi? Au tunaposti thread ili kuelimshiana na kuhabarishana? Maana kama ni kuelimishana na kuhabarishana hii thread haina maana b,cause huwezi kusema mnyika kafeli form six alafu jina lake liko kwenye website ya udsm.

Usiumize kichwa mkuu hawa tumeisha wazoea na propaganda zao.
 
Back
Top Bottom