Wabunge Wazichapa Kavu Kavu!

'Vyama vya Upinzani'

Hiki tu ndio ulitaka kusema, otherwise MODs pelekeni huu ***** wa Mtera IF!
 
[h=3]Video: Wabunge wachapana bungeni huko Ukraine, kisa matumizi ya lugha[/h]

ukraine_brawl.jpg

Ngumi mtu ndani ya bunge

Wabunge nchini Ukraine waliamua kuzichapa ndani ya kikao cha bunge baada ya wabunge hao kukosana juu ya matumizi ya lugha ya Kirusi katika sekta serikali.

Mjadala katika bunge la Ukraine kuhusu sheria ambayo ingeruhusu lugha ya Kirusi kutumiwa katika mahakama, hospitali na taasisi nyingine katika maeneo ya Urusi ambayo wakazi wake wanazungumza Kirusi umesababisha bunge hilo kugeuka kuwa jukwaa la masumbwi baada ya wanasiasa kurushiana ngumi.

356e91a03f44403283b4cb8e20cf6b77-66b0caf3c505467f9982d5db48e12211-21.jpg

Wabunge wa chama cha rais Viktor Yanukovich wanataka lugha ya Kirusi ikubaliwe kama lugha rasmi ya pili nchini humo, lakini upinzani unaounga mkono sera za magharibi unapinga sheria hiyo.

Kufuatia tafrani huyo ya kupigana ilibidi mbunge mmoja wa upinzani apelekwe hospitali baada ya purukushani hiyo.

BONYEZA Video:http://swahilispeakers.blogspot.com/2012/05/video-wabunge-wachapana-bungeni-huko.html

Posted by Roy Snr. at 00:50
 
Hayo yatawatokea CHADEMA kwa kulazimisha USHOGA Tanzania,
dawa yenu inakuja.
 
Hili ndio Bunge tulotakiwa Watanzania tuwe nalo sio kukaa badae tukasononeka pembeni, mtu akifuja nikuchezea kichapo tu, mafisadi wote wangeshindwa kuzitia mkono mali za umma ingekuwa ni heshima na adabu na hii ya Ukreni ni ndago nisawa na ku-kiss baby lakini Bunge la Itali watu wanakamatiana Bastola.
 
Mkuu Mungi,
W. J. Malecela hajui kuform heading. Tukimwambia atulie ajifunze anaanza kuleta story zake za kuishi Marekani miaka 20.

TUMBIRI

tumbiri@jamiiforums.com

- Mkuu wangu sana Tumbiri, samahani sana kwamba leo sitaweza kuja huko Jangwani kuhudhuria mualiko wako wa M4seee! kumbe nina mualiko wa kuongea na Vijana kuhusu maisha Chuo cha Ustawi wa jamii, nilisha - commit myself siku nyingi wamenikumbusha jana usiku sana, na nikitoka huko nina mualiko wa harusi ya mtoto wa Mh. Sumaye, nako nilisha commit, so sitaweza kuja huko lakini nakuaminia kunipa ripoti ya yaliyojiri huko!

- SAMAHANI SANA MKUU WANGU MAANA NILITAKA SANA KUJA HUKO LEO, ILA VIJANA WETU NI MUHIMU SANA NDIO TAIFA LA KESHO!

RESPECT MUCH! na KIDUMU CCM!!

William.
 
thread hii inaelekea ilitupwa humu jamvini kwa kutoa ujumbe fulani vile. ukizingatia thread imeletwa na sisiem idumu manake wapinzani wajiandae kwa ngumi siku zijazo. ila wm usitegemee wapinzani TZ wakatupiana masumbwi hata siku moja.
hayo makundi yenu humo ndani ndo yataleta show siku moja mjengoni.

- Mjifunze kusoma between the lines kwamba hizi ndio tabia za upinzani kila mahali kugombea nonsense, yaani watu wazima kwenda kupigana ngumi kugombea lugha wewe huoni kwamba ni aibu kwa upinzani wa Dunia nzima?

- Hawa wapinzani walijifanya na mapinduzi ya Orange, yamewafikisha wapi? Unaona ukisazoea magomvi na mapinduzi huwezi kuacha, sasa wewe kweli Great Thinker huwezi kuona another point hapa kwamba kama wapinzani wanapigana bungeni kwa ajili ya lugha tu, si ndio furaha ya watawala!

- HUMU NDANI KUNA WATU MMELALA SANA USINGIZI! HEBU AMKENI MJIFUNZE KUSOMA BETWEEN THE LINES!

William, mbona hii tayari iko bongo? Kwani nini kinaendelea sasa hivi CCM? Ni vita asubuhi jioni, titled, kuvua gamba!
 
Soon kitanuka Idodomia na hawa wanaharakati wapenda sifa! Duh! Kuna mmoja alitoa Mguu WA Kuku kwenye vikao vyao vya ndani huko Rock City.
 
- Mjifunze kusoma between the lines kwamba hizi ndio tabia za upinzani kila mahali kugombea nonsense, yaani watu wazima kwenda kupigana ngumi kugombea lugha wewe huoni kwamba ni aibu kwa upinzani wa Dunia nzima?

- Hawa wapinzani walijifanya na mapinduzi ya Orange, yamewafikisha wapi? Unaona ukisazoea magomvi na mapinduzi huwezi kuacha, sasa wewe kweli Great Thinker huwezi kuona another point hapa kwamba kama wapinzani wanapigana bungeni kwa ajili ya lugha tu, si ndio furaha ya watawala!

- HUMU NDANI KUNA WATU MMELALA SANA USINGIZI! HEBU AMKENI MJIFUNZE KUSOMA BETWEEN THE LINES!

William.

My God, My Jesus! Mungu tuepushe na hili janga la Taifa! Ivi haya ni maneno ya mtu anayejisifia kuishi nje ya nchi, tena nchi inayosifika kwa demokrasia? Ivi kwa akili yako yote unaona Upinzani ni watu wa kugombea 'nonsense'?
Kweli wewe unahitaji msaada mkubwa sana.
Kwa ufupi, Upinzani ni chombo muhimu sana katika ku-maintain accountability ya Serikali. Ndio maana mtu kama Mkapa anayeponda upinzani kila la leo anaonekana ni ndezi tu. Na wewe sasa umejiweka kwenye hilo kundi.
 
siku ile wabunge fulani Dodoma waliposema mlango ufungwe wazichape nilikuwa nasubiri kwa hamu nishuhudie what next bahati mbaya ikaenda vice versa,ila naamini itatokea hivi karibuni.
 
safi sana lugha tu tu watu wanatembeza mkono,,,,,bongo mafisadi wanadunda tu majukwaani tunawacheki
 
safi sana lugha tu tu watu wanatembeza mkono,,,,,bongo mafisadi wanadunda tu majukwaani tunawacheki
Lugha ni suala muhimu sana kwa utamaduni na maendeleo ya nchi. Hawa wabunge walichapana kwa kutetea matumizi ya lugha yao ya taifa dhidi ya vibaraka wanaotaka watumie lugha ya Kirusi.

Kama ingelikuwa kila mbunge anapofuja lugha anatiwa konzi moja tu basi wengi wangekuwa wamejaa makovu.
Kuhusu kuwachekea mafisadi, hawa siku zao zinahesabika, tutaanza kwenye visanduku vya kura. Wakileta za kuleta. kama hatua ya mwisho yatatokea yote hayo kama katika bunge la Ukrania , Ikulu kama Mali au mitaani kama Misri, Tunisia au Libya. Enzi za Hewalla Bwana na Mungu atatulipia zimekwisha.
 
Back
Top Bottom