WABUNGE wawe wabunge na MAWAZIRI wawe mawaziri

pcleva

New Member
Apr 1, 2012
4
0
Hii ifaleta huwajibikaji mzuri kwa Wabunge katika majimbo yao,na Mawaziri katika wizara zao,itasaidia sana kwa wasomi wetu kufanya walichokisomea,badala ya kukimbilia ubunge hili awe waziri.haya ni maoni yangu PC
 
Back
Top Bottom