Wabunge wavuta rushwa kukwamisha bajeti; yupo wa CHADEMA

Hujui siasa,Zitto akikwamisha bajeti ya CCM CHAMA CHAKE KINANUFAIKA KISIASA?Hivyo Zitto hahitaji kupew rushwa kukwamisha bajeti ya serikali bali kama si mwadilifu angeweza kutoa rushwa ili aikwamishe.UMECHEMKA KWA KUMHUSISHA NA KAMA AKIIKWAMISHA ATAKUWA AMETEKELEZA MALENGO YA CHAMA CHAKE KISIASA
 
Joblube uko sahihi kabisa. Na wenye mtazamo tofauti ni haki yao pia, lkn muda utawaukumu. Niliuliza hapa jamvini kuwa kwa kuwa Mhe. Zito naye yumo humu, akanushe tuhuma za kuiba fedha za umma yeye na wenzake waliokuwa kwenye Tume ya Jaji Bomani chini yaxwizara ya nishati. Pale ndipo Zitto alipoanza kuonja damu ya rushwa. Nsomba yeye au wapambe wake wakanushe.
 
kama una hakika pitia hapo Samora avenue AMI buildings toa taarifa TAKUKURU!Halafu wasipofuatilia urudi JF tukuagiizie pengine ukatoe taarifa!Wamechukua kiasi gani mkuu kila mmoja na wakishawatoa hao nini kitafuata?Isijekuwa kuna mjinga mjinga kajitolea tu pesa kabla ya kufikiri kama wewe ulivyoleta thread kiaina hiyo hiyo.Watu msiofikiri mmeongezeka mno na hii ni hatari kwa wasomaji kwa leo lakini ni hatarimkipata walau uongozi wa familia
 
Back
Top Bottom