Wabunge wavuta rushwa kukwamisha bajeti; yupo wa CHADEMA

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya.

Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia maslahi ya vigogo hao na wengine wameapa kuusambaratisha kabisa uongozi wa Wizara.

Habari zinasema wabunge kadhaa wa CCM wameshalishwa mapesa na Zitto Kabwe ni mmoja wanaosadikiwa ni mwenye maslahi na yupo kwenye mkakati.
 
Ukweli na uongo vitajulikana mwisho wa safari, na sio mbali it's just this wk, tutajua nani ni nani?
 
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya.

Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia maslahi ya vigogo hao na wengine wameapa kuusambaratisha kabisa uongozi wa Wizara.

Habari zinasema wabunge kadhaa wa CCM wameshalishwa mapesa na Zitto Kabwe ni mmoja wanaosadikiwa ni mwenye maslahi na yupo kwenye mkakati.

Lengo lako ni kuripoti wana-CCM au wana-CDM waliovuta rushwa
 
Ni kweli ukiangalia kwa makini unaweza kugundua Migogoro inayoanza kuonekana Wizara ya Nishati na madini ina msukumo wa kundi la Watu fulani na Mimi nihisi hali hii ikiendelea italeta athari kubwa kwenye ufanisi wa majukumu yake.
 
ni kweli ukiangalia kwa makini unaweza kugundua migogoro inayoanza kuonekana wizara ya nishati na madini ina msukumo wa kundi la watu fulani na mimi nihisi hali hii ikiendelea italeta athari kubwa kwenye ufanisi wa majukumu yake.

kwani hapo mwanzo kulikuwa na ufanisi?
 
Rushwa rushwa rushwa ................ kwa maslahi ya nani? Who is this Mhando? is he that powerfull? au tunamkuza tuu kutokana na magazeti kuandika habari za kusadikika?
 
Hivi huyu Rostam CDM mna mpango gani nae?..hamna mtu anayerudisha taifa nyuma kama huyu nyau...nyang'anya passport, filisi rudisha kwao au awekwe jela kama Kenya walivyomfanya Patni (mtu aliyesababisha uchumi wa kenya kuporomoka na wizi wa malipo ya nje)
 
mI NADHANI LENGO LAKO NI KUMCHAFUA ZITTO TU, HUKO KWINGINE KOOOOOOOOTE UMEZUNGUKA TU, TARGET YAKO NI ZITTO KWA SABABU YA TISHIO LAKE LA KUCHUKUA URAIS MIAKA IJAYO, KWA TAARIFA YAKO ZITTO NYOTA YAKE HUWEZI KUIZIMA KWA UDAKU. POLEEEEEEEEE.
 
Haishangazi kuwepo na Migongano ya Kimaslahi ktk wizara hiyo, maana hata kusimamishwa kwa Mhando watu walikuwa kimbelembele kuhoji why?

Kasimamishwa wakati CAG alikuta mahesabu safi, Inanishangaza sasa ni kuwa watuwanataka watendaji mafisadi waondolewe na sasa hawataki mafisadi waondolewe, Na wabunge wetu wapo kimaslahi zaidi,

Tunayo safari na ni ndefu kuifikia Tanzania tunayoitaka.
 
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya.

Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia maslahi ya vigogo hao na wengine wameapa kuusambaratisha kabisa uongozi wa Wizara.

Habari zinasema wabunge kadhaa wa CCM wameshalishwa mapesa na Zitto Kabwe ni mmoja wanaosadikiwa ni mwenye maslahi na yupo kwenye mkakati.

umetumwa na wakuu wa wizara ya madini na nishati?!
 
Tumebaki washuhudiaji wa maovu ktk jamii yetu, acha watumalize wote tunayataka haya!
 
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya.

Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia maslahi ya vigogo hao na wengine wameapa kuusambaratisha kabisa uongozi wa Wizara.

Habari zinasema wabunge kadhaa wa CCM wameshalishwa mapesa na Zitto Kabwe ni mmoja wanaosadikiwa ni mwenye maslahi na yupo kwenye mkakati.

Ina maana hawa wabunge kadhaa wa CCM ni maruhani hawana majina? Kwa nini imekuwa rahisi hivyo kupata jina la ZItto na kulitoa hadharani halafu ukashindwa kupata ya hao wengine? Huoni kuwa umeji-expose kuwa wewe ni mpiga majungu, mnafiki, mwongo na simple minded.

Hapa tuko busy na issue za kitaifa na mustakabali wa taifa letu la Tanganyika na siyo mambo ya udaku.
 
Hivi huyu Rostam CDM mna mpango gani nae?..hamna mtu anayerudisha taifa nyuma kama huyu nyau...nyang'anya passport, filisi rudisha kwao au awekwe jela kama Kenya walivyomfanya Patni (mtu aliyesababisha uchumi wa kenya kuporomoka na wizi wa malipo ya nje)

Huyo Rostam mnamuonea tu. Tatizo ni hao tuliowapa dhamana wanaoshikishwa milungula kisha wakakabidhi dhamana tuliyowapa kwa mtu mjanja tu wa mjini. Kwani Rostam huwa anawashikia bastola vichwani kuwashurutisha wapokee milungula yake?
 
Mleta thread ni mpumbavu na amejaza pumba kichwani;kati ya wabunge wote umeliona jina la Zitto tu ndio ulitaje,unawashwa wewe.
 
cha ajabu hilo shirika TANESCO lina madeni mengi lakini ndio lina ulaji wa ajabu...na viongozi wenu hawana chembe ya huruma hata kidogo...kama ni kuiba ibeni basi hata mwaka mmoja hiyo mingine mfanye kazi za kutuletea huduma kwa jamii hasa vijijini...leo hii 2012 kuna sehemu hazijui hata umeme umefananaje...wanasikia redioni tu
 
Ni kweli ukiangalia kwa makini unaweza kugundua Migogoro inayoanza kuonekana Wizara ya Nishati na madini ina msukumo wa kundi la Watu fulani na Mimi nihisi hali hii ikiendelea italeta athari kubwa kwenye ufanisi wa majukumu yake.

Kweli hivi vyombo vya serikali na umma (k.m NGO's) wanashindwa kuwatambua hao wasio takia mema maisha bora kwa raia bali matumbo yao? Wezi wote wajulikane na washughulikiwe vinginevyo itakuwa ni kucheza cheza tu.

Nina imani kuwa penye ukweli siku zote uongo ujitenga hata kama ni baada ya muda fulani.

Mafisadi si makundi ya kuyachezea, itangazwe vita kama ile dhidi ya nduli Amini ili wananchi wote tupambane nao popote walipo.
 
Back
Top Bottom