Mi napendekeza ili kutia changamoto ku raise GDP Per Capita income ya Watanzania, na ku discourage wanaotaka ubunge kwa kufuata marupurupu, mshahara wa wabunge uwe directly pegged kwenye GDP Per Capitaincome ya Mtanzania.Kwa maana hii GDP Per Capita ya Mtanzania 2006 ilikuwa $ 800 na mshahara wa wabunge uwe $ 800 kwa mwaka,ikishuka mshahara wa wabunge nao ushuke, ikipanda mshahara wa wabunge nao upande.