MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,519
- 1,367
Kwa nini Uhasibu Ar. ina wajumbe 9 wakati bodi zingine zina wajumbe 5 au 6?
Ni kwa mujibu wa sheria?
Ni kwa mujibu wa sheria?
Sorry si wabengu bali ni wabunge.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete,
ameteua wenyeviti wa Bodi za Mashirika na Taasisi chini ya Wizara ya
Fedha na Uchumi kama ifuatavyo: -
1. Bodi ya TIB – Prof. William Lyakurwa
2. Bodi ya Chuo cha Uhasibu Arusha – Bibi Mwanaidi Mtanda
3. Bodi ya NBC Ltd – Dr. Mussa Assad
4. Bodi ya Twiga Bancorp Limited – Dr. Amon Y. Mbelle
5. Bodi ya Benki ya Posta – Dr. Lettice Rutashobya
6. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (Gaming Board of Tanzania)– Prof.
Hassa M. Mlawa
Uteuzi huu wa wenyeviti ulianza rasmi tarehe 14 Novemba, 2008.
Aidha, Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Mustafa Mkulo amewateua
wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi wa Mashirika/Taasisi hizo.
Bodi ya TIB
1. Bw. Haruna Masebu
2. Mhe. Mgana I. Msindai (Mb)
3. Bibi Edwina Lupembe
4. Bw. Bedason Shallanda
5. Bw. Adatus V. Magere
Bodi ya Chuo cha Uhasibu Arusha
1. Bw. Patric Mwangunga
2. Dr. Suleiman Mohamed
3. Bibi Elipina Mlaki
4. Bw. Leonard Mususa
5. Mhe. Estherina Kilasi (Mb)
6. Prof. T. A. Satta
7. Dr. Clemence Tesha
8. Mhe. Felix Mrema (Mb)
9. Bw. Mugisha G. Kamugisha
Bodi ya NBC Ltd
1. Ponsiano Nyami (Mb)
Bodi ya Twiga Bancorp Limited
1. Mhe. Siraju Kaboyonga Juma (Mb)
2. Mhe. Abdallah Kigoda (Mb)
3. Mhe. Devota Likolola (Mb)
4. Mhe. Hulda S. Kibacha (Mb)
5. Bibi Mariam A. Nkumbi
6. Bw. Geofrey M. K. Msella
Bodi ya Benki ya Posta
1. Bibi Juliana Lema
2. Bw. Saidi M. Hussein
3. Bw. H. H. Mchangila
4. Bi. Bertha E. Mallogo
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (Gaming Board of Tanzania)
1. Bw. Dennis Muchunguzi
2. Bi. Suzan Mkapa
3. Bibi Maria Kejo
4. Mhe. Lucy Mayenga (Mb)
5. Mhe. Richard Ndassa ( Mb)
Hivi zile DATA au NONDOZ tulizomwaga za IPTL zipo wapi?
Mod naomba uziibue ili huyu Mjukuu mwana siasa afaidike kidogo.
FP
Mkuu Invisible asante kwa hii kitu.Ntaitunza ili mwanangu aje kusoma mambo haya
Amri ya kuwaondoa wabunge kwenye bodi za mashirika ya fedha inafaa kutekelezwa across the board kwa mashirika yote ya UMMA; kwani mashirika yote hayo yako answerable kwa Msajiri wa hazina.
I dont think if experience is an issue, wao si watendaji wa shughuli za kila siku, wao ni decission makers lakini implementation inafanywa na watendaje. So experience could not be an issue here. You can decide basing on technical advise given by executives.