Wabunge wasipewe marupurupu

Jungumawe

JF-Expert Member
May 2, 2009
245
74
Kwa vile watawala wa nchi hii inaonekana ni kumkomoa mtu wa hali ya chini, Basi tukubaliane hata wabunge wote wasipate mafao yao kila baada ya miaka mitano mpaka wafikishe miaka 85, after all wanadai kazi za ubunge si kubeba zege bali kusinzia tu bila kutumia akili.Hata kama nimetumia maneno ya kuudhi sifuti maneno yangu​
 
Back
Top Bottom