Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,280
- 1,763
Mafilili, huchoki tu?? Wenzako wote wanalipwa na CODE QX, hebu tuambie wewe una maslahi gani huko?? Unaijua hii network kwanza?? Wewe shangaa tu na gamba lako.
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!