Wabunge wasiochangia chochote bungeni (esp Catherine Magige) wana maana gani??

Status
Not open for further replies.
Wameingia humo bungeni kwa kazi mahsusi na kazi yao ikiisha baada ya miaka mitano wataondoka, usipate shida sana kuwafuatilia hawana issue inayokugusa wewe, wapo pale kwa issue za kikubwa zaidi. Na wewe naye huelewi tu hadi utafuniwe kila kitu aaaaggggrrrrrhhhhhhhhh:kev:
She has the ear of the "king" why shouting in the public?
 
Acha fitna! Huyu dada atajana nimelisikia jina lake lakwanza kwawaliochangia kwamaandishi bungeni. Yaelekea unachuki nahuyu sister wewe. Pia maranyingi anaonekana kwenye TV akifanya shughuli mbali Bali zakijamii. Kwawazee wasiojiweza, kwakinamama, navijana nahata hospital nakumbuka niliwahi kumuona akitoa Masada hospital ya Mt Meru Arusha, pia akitoa vitabu shulemoja Yasecondary Arusha tuache kuleta chuki binafsi kwenye mitandao ili tu kimpaka mtu matope. Kwakweli umemuonea anajitahidi sana kufanya kazi sana mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni. Au unataka awe anakurupuka tu kuongea ili uridhike? Fanya uchunguzi kabla yakumuhukumu mtu! Usidhani Wanamaker jf siwafuatiliaji wamambo. No research no right to speak!

Wewe unakurupuka tu bila kusoma unakuja kuandika utumbo hapa... Nimesemea habari za misaada anayotoaga huko mitaani?? Nani anayemuona huko mitaani? Naongelea bungeni. Au unaongelea bunge lipi wewe?? Na kila siku achangie kwa maandishi kwann?? Ajitahidi kama wanawake wenzie. Hatutaki wauza sura, sura tunazo tu nzuri huku..
 
Ukiachana na hayo mi huwa najiuliza wale wamama watu wazima wengi wamekaa tu mule kwanza wengine huwezi jua hata km ni wabunge mpk uwaone pale bungeni ni wa special seats but huwaoni hata ktk shughuli za kujitolea za kijamii,na mjengoni ni mabubu. Watanzania ifike mahali haya mambo ya kupeana ubunge coz ilikuwa hv mara vile tuyaache,mi naona km ingefutwa kbs viti maalum coz hizo hela wanazopewa zingenunulia madawati kwa wanafunzi wanaokaa chini madarasani na huduma za afya kwa TZ nzima.

Mdau u have sum it all up. Well said. Asante
 
Leo Nassari kauliza swali katika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki. Na huyu ndio kwanza kaingia bungeni. Kama kuna wabunge wamechaguliwa tangu 2010 na hawajauliza kitu shame on them.

Hata kama kuna rule ya kufanya kazi behind the scenes na serikali, hata kama mbunge haulizi maswali kwa sababu majibu yote anayo, bado inafaa mbunge kuuliza maswali hata kama ni kwa kutaka kuwafahamisha wananchi tu nini kinaendelea kwa kupitia mawasiliano rasmi ya bunge.

Maana wengine hawaishi visingizio hawa watakwambia waziri nashinda naye nyiumbani kumuuliza bungeni ya nini?
 
And I was very impressed baada ya Nassari kuuliza swali.. Mtu kaja juzi anawashinda watu wa miaka nenda rudi.. Its about time haya mambo yaangaliwe. Natamani hata pangekuwa na maswali ya papo kwa hapo kwa watu kama huyu dada.. Au wabunge wa viti maalum kwa ujumla.. I don't see much of what they do kwakweli
 
Nadhani Huyu Dada sijui hata role yake ya kuwa pale, ila nakumbuka kuna siku MOJA, Sikumbuki Tarehe ila alitoa Sh. zaidi ya milioni saba cash kwa ajili ya kuwahonga na kuwalipa posho umoja wa Vijana wa CCM!! Nadhani kila mjumbe alipata 50,000/- Shallow minded representative!!
 
Acha fitna! Huyu dada atajana nimelisikia jina lake lakwanza kwawaliochangia kwamaandishi bungeni. Yaelekea unachuki nahuyu sister wewe. Pia maranyingi anaonekana kwenye TV akifanya shughuli mbali Bali zakijamii. Kwawazee wasiojiweza, kwakinamama, navijana nahata hospital nakumbuka niliwahi kumuona akitoa Masada hospital ya Mt Meru Arusha, pia akitoa vitabu shulemoja Yasecondary Arusha tuache kuleta chuki binafsi kwenye mitandao ili tu kimpaka mtu matope. Kwakweli umemuonea anajitahidi sana kufanya kazi sana mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni. Au unataka awe anakurupuka tu kuongea ili uridhike? Fanya uchunguzi kabla yakumuhukumu mtu! Usidhani Wanamaker jf siwafuatiliaji wamambo. No research no right to speak!
Acha kutetea uhozo bwana: huyo dada kama anashangaashangaa huko Bungeni lazima jamii ihoji; inawezekana huyu mleta mada wanatoka sehemu moja na huyu mheshimiwa hivyo anajua in and out mchango wake kwamba ni zero, we kama ulimuona huko Arusha akitoa misaada ya kijamii jipongeze kwani ni nadra sana huyu dada kujitokeza. Siyo yeye peke yake ila wapo wabunge wengi wanakaa tu na kusubiri posho eti wanajiita waheshimiwa. Inabidi ifike wakati Bunge liwe na wabunge wasio zidi 100 ilimradi wawe wachapa kazi tu, siyo hao wabunge wenu wakuokota okota mitaani: sasa wewe niambie Vick Kamata anamchango gani Bungeni wa wewe kujivunia????
 
Naomba niwape pole kwa majukumu ya kila siku Great Thinkers. Nakerwa sana na baadhi ya wabunge ambao tangia bunge lianze sijawahi kusikia wamechangia ama kuuliza swali hata siku moja. Maana ya wao kuwa pale inapotea kabisa.

Kama Catherine Magige mimi nilikuwa namchukulia kama role model ila jamani kila siku nakesha kusikia yule dada ataongea labda au kuuliza swali lakini hola. Tatizo linakuwa ni nini?

Ni kutojiamini au ni kutokujua kilichokuweka pale au ndio zile nafasi za ubunge ambazo zina strings attached?? Wabunge vijana wengi tu wanawakilisha vijana vizuri ila kama huyu ndioo kilazaaa and it saddens me..

huyo ni domo zege
 
Wameingia humo bungeni kwa kazi mahsusi na kazi yao ikiisha baada ya miaka mitano wataondoka, usipate shida sana kuwafuatilia hawana issue inayokugusa wewe, wapo pale kwa issue za kikubwa zaidi. Na wewe naye huelewi tu hadi utafuniwe kila kitu aaaaggggrrrrrhhhhhhhhh:kev:
Eti hivi ni kweli festi ledi ni mjamzito?
 
Nadhani Huyu Dada sijui hata role yake ya kuwa pale, ila nakumbuka kuna siku MOJA, Sikumbuki Tarehe ila alitoa Sh. zaidi ya milioni saba cash kwa ajili ya kuwahonga na kuwalipa posho umoja wa Vijana wa CCM!! Nadhani kila mjumbe alipata 50,000/- Shallow minded representative!!

Sasa peza zote hizo ndio hizi anazokalia pale bila mchango wowote.. Ndio maana at times wanawake wanadharaulika jamani.. Anauza tu sura pale badala ya kuchapa kazi
 
Acha kutetea uhozo bwana: huyo dada kama anashangaashangaa huko Bungeni lazima jamii ihoji; inawezekana huyu mleta mada wanatoka sehemu moja na huyu mheshimiwa hivyo anajua in and out mchango wake kwamba ni zero, we kama ulimuona huko Arusha akitoa misaada ya kijamii jipongeze kwani ni nadra sana huyu dada kujitokeza. Siyo yeye peke yake ila wapo wabunge wengi wanakaa tu na kusubiri posho eti wanajiita waheshimiwa. Inabidi ifike wakati Bunge liwe na wabunge wasio zidi 100 ilimradi wawe wachapa kazi tu, siyo hao wabunge wenu wakuokota okota mitaani: sasa wewe niambie Vick Kamata anamchango gani Bungeni wa wewe kujivunia????

Halafu misaada yenyewe huyu jamaa anayoiongelea ni ile ya kukaribia chaguzi kama uchaguzi ule wa Arumeru Mashariki walitaka pia kuthubutu kupita na vimisaada vyao ila hawakujaribu... Anatoaga tu misaada ya kuutafuta umaarufu na sifa lakini hamaanishi kusaidia.. Sasa kuna haja ya kufika mahala na kuwaondoa kabisa hawa wabunge wa viti maalum.. Sioni michango yao bungeni na kwenye jamii inayowazunguka.. Zaidi tu ni kutupa hasira na hasara ya pesa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom