Wabunge washauri siasa vyuoni zipigwe marufuku...

Kwa kawaida kwenye nchi zilizopiga hatua ya kidemokrasia, wanafunzi wa vyuo ndo waletaji wakubwa wa mabadiliko katika mwenendo wa kisiasa wa nchi. Huku kwetu wameshaisoma hiyo ndo mana mambo yakianzishwa vyuoni inatumika nguvu kubwa sana kuizima...

Ni kweli?
 
Kufanya mikutano ya kisiasa ndani ya vyuo, hii ni sahihi kabisa ipigwe marufuku ili kuondoa mivutano isiyo na msingi na uhasama kati ya wanachuo. Lakini hii haina maana wanachuo wasishiriki mambo ya siasa as individuals. Mwanachuo vilevile asizuiwe kushiriki katika shughuri za chama chake pale ambapo haitaathiri program zake za masomo. Vyuo sio sehemu ya wanafunzi, pale pana wanachuo, ambao waweza kuwa wafanyakazi, wafanya biashara, wakulima, nk.
 
huwezi kufuta siasa vyuoni na hii ni kwa vyuo vyote vinavyo toa cheti hadi shahada ya uzamivu.kufuta siasa vyuoni ni sawa na kuaandaa taifa la watu wenye fikra finyu,stagnant na static. hata watawala wenyewe hawatapata changamoto. kilichopo serikali ikome kukumbatia ma vice chancelor wazembe na wasiojuwa wajibu wao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom