Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Anapenda outing!!!!!
Mi nadhani hatua madhubuti ichukuliwe dhidi yake, kama siyo wabunge basi umma wa watanzania wajitokeze kupinga huu utawala mbovu wa serikali ya kikwete
Anapenda outing!!!!!
Mbona mlisema Raisi yuko Dodoma na sasa mnasema hana Taarifa?
hujui kuwa hiyo ndio staili yake ya kukwepa majukumu na lawama? Anajaribu kujikipu bize kwa mambo yasiyokuwa na tija. Anajaribu kutengeneza sababu kuwa anachelea kuwawajibisi makuwadi wake huku akisikilizia upepo. Kama umemshtukia huyu jamaa huwa anaogopa kuwa wa kwanza kufanya maamuzi kutokana na uwezo wake mdogo. Kifupi ni kwamba pale IKULU hapakustahili kukaliwa na mtu Kilaza hv. Matokeo yake ndio haya tunayoshuhudia sasa.
hivi kikwete ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi afrika? Kutokana na uzito wa matatizo ya nchi yake alitakiwa amtume mwakilishi, mbona nchi zingine zimetuma balozi zao? Kwanini iwe ngumu kwa jk?
Hivi Kikwete ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi afrika? Kutokana na uzito wa matatizo ya nchi yake alitakiwa amtume mwakilishi, mbona nchi zingine zimetuma balozi zao? Kwanini iwe ngumu kwa jk?

Wabunge wa JMT wametoa maonu yao iwapo leo Spika wa Bunge hataipangia na kuipokea hoja ya Zitto ya kumwajibisha PM kwa dhana nzima ya uwajibikaji na kulindana.
Wameomba kuwepo na bunge la dharura kulingana na sheria na taratibu za bunge kwa sababu kuwaacha waendelee mpaka vikao vijavyo ni kuliua taifa.
Pia wabunge hao wanadai ni unafiki na uwongo kuwa rais hana taarifa ya mambo yanayojiri bungeni kama hajui iweje ajibu akiwa Malawi kama hana taarifa?
Mi nadhani hatua madhubuti ichukuliwe dhidi yake, kama siyo wabunge basi umma wa watanzania wajitokeze kupinga huu utawala mbovu wa serikali ya kikwete
Umesahau...ni Rais wa mitoko ya hapa na pale nchi za njeNi kweli Mkuu, JK ni Rais wetu wa mambo ya nchi za nje, teh teh lol
hana taarifa! nyumba inaungua nae anaiona harafu anasema hajui kama nyumba yake inaungua,jamani kweli hapa pana rais?je kwa mtu kama huyo hapa maendeleo yapo kweli hasa kwa kmtawala asiyejua tatizo la anapotawala? huyu jamaa kila kitu yeye hajui, je ni lipi alijualo?
ni mratibu wa mazishi ya watu mashuhuri
Mungi na wana-JF, tafsiri yangu ni ndogo sana. JK hamtaki Pinda.
Kwa kuwatetea mawaziri anamweka Pinda kwenye kona ya ama ajiuzulu au asubiri rehema kura za 'no confidence' kama zitatosha au la. Si kwamba JK halijui hilo ila anaposema kuwa serikali haiwezi kushinikizwa hii ni pamoja na kumwambia Pinda kuwa hawezi kundesha Caucus meeting kumshinikiza. Kwa hiyo lolote litakalompata ni la kwake yeye Pinda.
Hivi Kikwete ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi afrika? Kutokana na uzito wa matatizo ya nchi yake alitakiwa amtume mwakilishi, mbona nchi zingine zimetuma balozi zao? Kwanini iwe ngumu kwa jk?