Wabunge wanyan'anywe mamlaka ya kujipangia mishara na posho

ACTIVISTA

Member
Jun 17, 2011
46
7
Wabunge wemepewa mamlaka makubwa kupitliza.... Swala la mishara na posho, na marupurupu makubwa chanzazo ni mamlaka waliyopewa ya kujipangia mishahara na kila kitu juu yao.

Walatin wanasema nemo judex in causa sau, hii kwa kimombo maana yake ni no person can be a judge on his own cause.... Sa wbunge wamepewa mamlaka ya kuamua juu ya maslahii yao wenyewe.......... Hili kwangu ni tatizo na katika katiba mpya napendekeza lizingatiwe....
 
kwa nyongeza, wasilipwe na bunge, walipwe kwa wapiga kura wao, wale wa viti maalum uwe ndio mwisho wao. naunga mkono hoja!!!!!
 
Walipwe kwa mchango wao katika kuliendeleza taifa hili, wabunge wanaounga mikono hoja za kipuuzi hao hata posho wasipewe, maana wanaidhinisha kufilisika kwa nchi hii kwa sasa. MUNGU yupo pamoja nasi wameanza kugombana na hawataelewwana hadi CCM imeguke kabisa na hata CCJ ifufuke tena
 
Wabunge wemepewa mamlaka makubwa kupitliza.... Swala la mishara na posho, na marupurupu makubwa chanzazo ni mamlaka waliyopewa ya kujipangia mishahara na kila kitu juu yao.

Walatin wanasema nemo judex in causa sau, hii kwa kimombo maana yake ni no person can be a judge on his own cause.... Sa wbunge wamepewa mamlaka ya kuamua juu ya maslahii yao wenyewe.......... Hili kwangu ni tatizo na katika katiba mpya napendekeza lizingatiwe....

Sasa nani anatarekenisha hiyo sheria? Unategemea wajichinye? Sio hawa wabunge posho wetu, akina Mh. Posho.
 
Back
Top Bottom