nsimba
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 782
- 55
Malumbano meeeengiii!
Swali ni nani hakuwepo full stop!!!!
Toeni majibu kama mnajua acheni porojo na ubabaishaji usio na m
Mnakuwa kama hamjaenda shule
Jibu ndio au hapana!unaanza oooh! unajua! acheni ubabaishaji leteni majibu tujue
Muuliza swali ameanza na "bunio baya" wasiokuwepo maanake....!! hiyo ndo imeharibu thread yake. It seems ana JAMBO nyuma ya ukweli anaoutafuta, ambalo ni maji taka!!!