Wabunge wanawake wa CCM?

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??
 
Yule aliyechangia wa mwisho lakini nimemsahau jina lake.

kweli yule wa mwisho yupo sawa yeye hakujikita kwenye siasa za mipasho lakini waliobaki lazima tuwatafutie software ili wajitambue.
 
Naona kuitwa mbunge wa CCM siku hizi ni matusi pia, kwahio wale matusi wajifunze kuangalia maslahi ya watu wengine
 
......mh kwa heshima ya mama yangu nisiseme neno ktk hii thread....asanteni
 
katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??
Nimethibitisha kuwa kweli watu humu wanakurupuka tu bila kuwa na uhakika na wanayoyasema. Sitaki kukutajia wanawake wote waliochangia, kwa taarifa yako ni kwamba mtu wa kwanza kuchangia muswada mara baada ya kuanza majadiliano alikuwa mwanamke Anna Kilango Malecela. Inawezekana unaangalia Bunge kwa masaburi wewe.
 
walichangia kwa maslahi ya taifa au chama??
 
Ndugu zanguni wanajf,
Hivi huyu VGL yeye anatumia nn kufikiria au ndani ya masaburi???wabunge wanawake ccm pia na cuf wanatetea ndoa zao hata huyo kilango wa jituu patel
 
katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??

Kama mwenyekiti wao Sofia Simba alivyosema ndio na hao wanawake walifanya, basi ujue ni "uchi" ndio umewaingiza mjengoni. Usitegemee chochote hapo.
 
Nimethibitisha kuwa kweli watu humu wanakurupuka tu bila kuwa na uhakika na wanayoyasema. Sitaki kukutajia wanawake wote waliochangia, kwa taarifa yako ni kwamba mtu wa kwanza kuchangia muswada mara baada ya kuanza majadiliano alikuwa mwanamke Anna Kilango Malecela. Inawezekana unaangalia Bunge kwa masaburi wewe.
Yani wana jamvi makini sana.sema kuna wangese kama nyie waganga njaa wa magamba ndio mnafanya kila kitu kwa kulinda maslahi ya mabwana zenu nyie viburudisho vya wazee wenu hamna lolote kwanza wengi wenu mmeshaoana mnamegwa na vibabu wenye umri wa madingi zenu kwa kifupi mnaleta njaa 2 uso mkavu hamna aibu.angalieni maslahi ya taifa sio jamaa zenu poooh njaa mbaya.
 
katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??

Hawa wanaleta mapenzi kwenye mambo ya msingi kwa taifa hili....wengi ni watu wa ******....
 
Back
Top Bottom