Wabunge wanaopoteza muda hawafai-Useless MPs

Natamani ningekuwa controller wa sauti pale bungeni,akiaanza hizo porojo ni kuzima maiki..kwakweli wanaboa sana
 
Yaani Luteni upo kama wao kwa asilimia 100%, inaelekea ulihudhuria AU umedesa semina elekezi iliyofanyika pale Dodoma.....WANANIUDHI KWELIKWELI ILA BASI SINA LA KUWAFANYA
Ngisibara mwanzo nilikuwa sijakuelewa sasa nimekuelewa sijahudhuria semina elekezi ni jinsi ninavyowaona
wanavyopoteza muda wa bunge huwa wananiudhi sana badala ya kwenda moja kwa moja kwenye hoja au swali
atajizungusha hadi muda unakwisha.
 
Back
Top Bottom