Kiluvya2011
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 215
- 31
Mie napenda kuangalia bunge b'koz ya challenge ya upinzani ya cdm....lasivyo nawatch tom and jell
Mkuu, hata kama hujui kiswahili tufafanulie maana yako kwenye maneno hayo matatu........NSSR Bunge lisenge....
Hahahahahaaa! Mkuu unanichekesha sana aisee!mi namfeel halima mdee na ka-sauti kake ka ukakasi
Hahahahahaaa! Mkuu yule masai mjanja sana, yeye bungeni huwa haongei wala kuchangia chochote then muda wote km anatafakari, cjui huwa anamipango gani yule. Nasikia wabunge wa magamba hasa hawa viti maalum wanamkubali kweli.. Ila AC ANABOA!Nampenda E.L make yeye akiwa pale bungeni ni kama mgonjwa wa kupooza ama kama paka anavyokaa kwenye kona anamlia timing panya akatize kumbe anaratibu mapato na matumizi ya CCM bungeni na akitoka nje anapanga timu upyamwisho wa mchezo anaenda kuongea na kaptain wake mama wa tundege na kuangalia timu imezidiwa wapi,nani atoke na nani aingie a.k.a the special one,Mourinho!!
Rose Kamili aliyefungwa mdomo kwa kugawiwa ubunge.
Jamani wanaja JF nawaomba/kuwasisihi tuwe wawazi, bila kuwa na itikadi, upendeleo wala ushabiki na ushushushu. Wabunge wa chama gani wanafanya maelfu ya watu kupenda kusikiliza/hata kuangalia bunge letu?. CHADEMA, CCM, CUF, NCCR, UDP, CCJ au chama gani.? Mimi bila kupendelea kama wasingekuwepo wabunge wa CDM wala nisinge sumbuka kuangalia wala kusikiliza bunge.
Nawasilisha.