"Wabunge (wanaolala bungeni) wachapwe viboko"

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Wakazi wa kata ya Misalai, Tarafa ya Amani wilayani Muheza wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi na kisha kuchapwa viboko kwa mbunge atakayesinzia akiwa kwenye kikao bungeni...pia wamependekeza adhabu hiyo itolewe kwa mbunge husika huku ikionyeshwa kwenye luninga na pia wasiruhusiwe kugombea kipindi kijacho! Hayo yamesemwa na wanakijiji hao wakati wakitoa maoni yao kwa wajumbe wa Tume ya maoni ya marekebisho ya katiba!! Big up kwa waliotoa hayo maoni. CHANZO: MWANANCHI J'PILI TAR.15/07
 
Wakuu mimi ni mwalimu wa nidhamu hapa skonga kwetu hivyo naomba hilo dili la kuwacharaza viboko hao jamaa wa mjengoni, watakomaje? tenda ya kuwamwagia maji wapeni DAWASCO.
 
Back
Top Bottom