Wabunge wamkana Spika Anne Makinda kuacha ubunge

atangaze hizo nafasi zinazotaka kuachwa wazi na sisi tukagombee. angalau tupate hicho kidogo wanachokikataa. mbona posho ya shilingi 70 elfu kwa siku ni pesa nyingi sana. bado fedha ya jimbo, bado mshahara bado kiinua mgongo. mama makinda sijui unataka mfanyieni pesa zote hizo wakati kuna watanzania wanalipwa mshahara 120 000 kwa mwezi. Hakika spika wetu nilikushangaa hadi wale wazee wakawa wanainamisha vichwa chini kwa cheko ulipokuwa unalalamika kunyimwa Posho.
 
Hivi mnamwongelea nani? Bibi Kiroboto? Anataka posho akarabati sura may be
 
wanawake mnamuona mwanamke mwenzenu?

Ndio kweli huyu anawapigania wanawake wenzake kwa style hii?

Yaani Bi Kiroboto amethibitisha kuwa "wanawake wakiwezeshwa hawawezi"!
Wanawake wanatakiwa kuonesha uwezo wao binafsi na sio kuwezeshwa. Haya ndio matokeo ya kuwekana madarakani kwa kuwezeshwa!
 
Namwonea huruma..maana miaka minne mingi sana. Kama vipi bora aache uspika abakie na ubunge kwanza kabla ya kuwa evicted completely ifikapo 2015.

Cha kushangaza Dr JK nae anamtunukia tuzo ya utumishi uliotukuka! Kaazi kweri kweri!
 
Jamani si wanawake wote! Wako wanaoweza!! Mifano tunayo. Halima, Marehemu Regia to name a few.
Yaani Bi Kiroboto amethibitisha kuwa "wanawake wakiwezeshwa hawawezi"!
Wanawake wanatakiwa kuonesha uwezo wao binafsi na sio kuwezeshwa. Haya ndio matokeo ya kuwekana madarakani kwa kuwezeshwa!
 
Back
Top Bottom