Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Hivi jamani hii verdict imetokana na analysis ya kina na ambayo ni objective. Ninavyoamini mimi ni kwamba bila kutengeza vigezo ambavyo ni uniform kwa utendaji wa mbunge, chochote kitakachotolewa humu itakuwa ni maoni ambayo ni very subjective na yasiyo na maana yoyote kwa sababu kila mtu ata-pick mbunge wake kwa vile anaona au amesikia kuna kitu amekifanya bila kujua kwamba na yeye ana failures zake. Siiungi mkono thread hii ambayo kimsingi ni upigaji ramli!
Kaka ukitaka kila kitu kiwe scientific hutaweza hata kutoa maoni yako maana utakuwa na data ambazo sio statistically proved . Hivyo hapa tunaongea kwa tunavyoviona kama unaona mtu kaonewa basi eleza hapa na toa maoni yako.