Wabunge wakerwa na wasanii wa kiume kuvaa kike

Aaaagh! Bunge letu kweli limekuwa halina kazi! sasa hata michezo ya kuigiza wameshindwa kutafuatilia na kutafsiri mchezo wenyewe una ujumbe gani badala yake wanatazama mavazi ya kike ati kuwadhalilisha wanawake kwa kupaka poda!... Haya na mwanamke akiigiza mwanamme inakuwaje?
 
Kuna kijana mmoja uwa anaitwa Sharobaro anakatika utadhani mtoto wa kike uku kavaa kama mwanamke,
 
Back
Top Bottom