Wabunge wagomea misamaha ya kodi

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Baadhi ya wabunge wa jamhuri ya muungano watanzania wapinga misamaha ya kodi, wabunge hao wamedai kuwa misamaha hiyo inachochea rushwa na wametaka suala hilo lijadiliwe bungeni.

Je wabunge na mawaziri wenye 10% watakubali misamaha ifutwe ili waweke maslahi ya taifa mbele?
Je kuna umuhimu wa kutoa misamaha ya kodi wakati bajeti yetu ni tegemezi?
 
Back
Top Bottom