Wabunge wafidia (posho) muda wa disaster ya meli weekend hii

The Listener

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
993
213
Ndugu zangu wabunge naona weekend hii wameamua kuendelea na vikao baada ya kusitisha zoezi hili katika kipindi ambacho kulitokea ajali ya meli. Lilikuwa ni jambo jema kuahirisha kikao kwani waliofariki ni ndugu zetu. Dukuduku langu ni kuwa imekuwepo sababu gani ya msingi kuendelea na kikao weekend hii?. Hii inapelekea mimi kuamini kuwa wanafidia posho ya kikao ya siku ambayo hawakufanya kazi. These guys are very tricky.
 
Back
Top Bottom