Wabunge wafanyiana ujinga Bungeni

Mimi naona kumpata mwandikaji hicho kijibarua ni simple!kwan kakipataje?si kuna wale makarani kazi yao ndio kusambaza hivyo vijibarua?waulizwe wanajua wamevitoa wapi!akigundulika atangazwe hadharani kama ni mbunge wa kuchaguliwa akija jimboni tunamzomea!kama viti maalumu apigwe chini maanake hajui kilichompeleka hapo!
Ni kweli Mkuu! Ila kwa magamba ni muhali kuwajibishana.
 
Waliruka stage, si unajua huo ni mchezo wa O-level mwalimu anapokuwa anafundisha darasani wanatongozana au kumdescribe mwalimu jinsi alivyovaa au anavyofundisha , sasa wanalazimisha kuirejea wakati si wakati wake.
 
Hapo ndipo ninaona Lema anafaa sana kuwa Mbunge kwenye bunge hili la sasa maana upuuzi ukizidi yeye anaropoka tu "Fungeni Milango tupigane". Mie naona zingelitandikwa siku moja, wabunge wangelikuwa WAKITAFAKALI au KUSIKILIZA KWA MAKINI wakiwa na wameshika bastola.

Sasa mbunge kama huyu hapa, eti yupo bungeni kweli na analipwa kwa kazi hii:

mh.jpg
1.jpg
Sikonge hawa jamaa si walishajibu? huyo wa kushoto alisema alikuwa anatafakari hotuba. Na huyo wa kulia alikuwa dawa ndio zilimpa usingizi!!! kaazi kweli kweli
 
Mimi naona kumpata mwandikaji hicho kijibarua ni simple!kwan kakipataje?si kuna wale makarani kazi yao ndio kusambaza hivyo vijibarua?waulizwe wanajua wamevitoa wapi!akigundulika atangazwe hadharani kama ni mbunge wa kuchaguliwa akija jimboni tunamzomea!kama viti maalumu apigwe chini maanake hajui kilichompeleka hapo!
Pia kuna kamera mle mjengoni, tuseme hawawezi wakatrace mpaka wakampata mwandishi?
 
hii inaonyesha kwamba kuna wabunge hawana kazi ya kufanya hapo bungeni ndo maana wana huo muda hata wa kuandikiana barua za uwongo uwongo. Wanakula posho za bure tu hata michango yao utaisikia ailivyo shallow!!
 
Kizazi cha nyoka. Bunge ni new comed wanaolipwa vizuri kuliko wachekeshaji wote tz.
Sijui na hawa vijana wa shule za kata wakifika huko itakuaje!
Na tangu wamefahamu kuwa wako live luningani, wanachojua ni biashara ya sura tu.
Nadhani kuna wengine ukiwauliza waziri wa kilimo au elimu hawamjui kabisa. Wengine hawajui hata katiba ikoje.
Je tutafika kwa style hii!?
 
Hii ndo hasara ya kuwa na wabunge wengi wa viti maalum,nahisi kama ni wao wanaoshinda wanafikiria mzaha tu!
The idea of viti maalumu didn't stem from a genuine justification of grounds, sababu kama kila jimbo lina mwakilishi wake wa kuchaguliwa na wananchi, why viti maalumu? Kama ni gender balance kwenye bunge, kwani huo umekuwa mzani wa kupima kilo za wanawake against wanaume? Tunaingia gharama za mabillion kutoka kwenye budget yetu simply tunataka ku-balance gender? Kipi bora, kuwa na gender imbalance ndani ya bunge (ambayo huwa inakuja yenyewe automatically, haisababishwi na mtu yeyote, si kiongozi si mwanachi wa kawaida) halafu tu-save mabillions kwenye budget yetu, au tu-create gender (ya kusababisha), halafu tupoteze billions kwenye budget yetu? Kipi bora? The issue of opportunity cost.
 
Makanyaga, hata mimi huwa nashanga hao wanahubiri 'gender balance' wapo kinadharia zaidi ila practically wako tofauti kabisa kwenye mambo ya msingi. Tizama mabunge yao eg Uk, US....!
 
Wao kwao kazi ni kuupata ubunge,baada ya hapo ni bata kwa kwenda mbele.
 
nadhani wabunge wetu wanaiga.kwa vile wanajua wapo live luningani ndo mana wanafanya upuuzi.
Wanafikiri wapo Big brother ya RSA. Yani yule mwenye kufanya madudu ndo atakayevutia watazamaji.
Imebakia kulana denda tu mjengoni mana kila kitu wameshakifanya.
 
Katika hali ya kushangaza,imegundulika kuwa kuna wabunge wanawaandikia wabunge wenzao vijibarua feki.Miongoni mwa wahanga wa upupu huu ni mheshimiwa joseph selasini na leticia nyerere.Mheshimiwa selasini alipokea kijibarua kinachoonesha kwamba anaitwa na waziri mkuu pinda na kama haitoshi kijibarua hicho kimefojiwa sahihi ya waziri mkuu pinda.Baada ya kukipata kibarua hicho,mheshimiwa selasini kwa adabu na unyenyekevu alijongea kule aliko waziri mkuu.Kilichotokea hapo ni kila mtu kumshangaa mwenzie,pinda akiwa hajui nini maana ya ujio wa mheshimiwa selasini na selasini mwenyewe akiduwazwa na mshangao wa mheshimiwa pinda kwake.Hawa wabunge wetu kama si utoto ni nini?

MAMBO MENGINE nashindwa kuelewa kabisa me nakumbuka tulikua tunaandikia vimemo tukiwa o-level wakati tunabalehe sasa hii mijizeee ndo inafanya sasa hivi....pu....vu kabisa.
 
umeona eee:) hapa kuna siku tutasikia mtu kafungwa jiwe kwenye suti yake.. hahah si unakumbuka mambo ya primary school? mtu anasimama kafungwa jiwe au karatasi

Hapo kwenye red mkuu umenikumbusha mbali! Nimetafuta kitufe cha kukugongea nikakikosa, hata kile cha kusema nimeipenda hii nacho hakipo!!!

Na hii mijamaa ya posho huko inakoelekea hatujui!! Yetu macho ipo siku tutamwona Mh. mmoja ananing'niza jiwe kweli.
 
Katika hali ya kushangaza,imegundulika kuwa kuna wabunge wanawaandikia wabunge wenzao vijibarua feki.Miongoni mwa wahanga wa upupu huu ni mheshimiwa joseph selasini na leticia nyerere.Mheshimiwa selasini alipokea kijibarua kinachoonesha kwamba anaitwa na waziri mkuu pinda na kama haitoshi kijibarua hicho kimefojiwa sahihi ya waziri mkuu pinda.Baada ya kukipata kibarua hicho,mheshimiwa selasini kwa adabu na unyenyekevu alijongea kule aliko waziri mkuu.Kilichotokea hapo ni kila mtu kumshangaa mwenzie,pinda akiwa hajui nini maana ya ujio wa mheshimiwa selasini na selasini mwenyewe akiduwazwa na mshangao wa mheshimiwa pinda kwake.Hawa wabunge wetu kama si utoto ni nini?

Ndo maana lile zee la kuhonga Wabunge liliwaambia wako kama akina Masanja Mkandamizaji (Comedy), eti wakakasirika!!!
 
Back
Top Bottom