Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

Mwacheni kibonde akae jaman kwani hamumjui huyo bwana?huyo ni sehemu ya watu wasioamini kama wanaweza kula na kuendesha maisha yao bila kuwapigia magoti baadhi ya watu na kuwalamba viatu.
 
Kibonde ni kivuli.
Pekee yake haishi,
kwani hana kiwilwili.

Huzuka ghafla,
na hupotea ghafla,
Ni mtegemezi asilani,
wa umbile lisolake.

Kurunzi ikizimwa,
Kibonde naye huzimika
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
...Kibonde ni msemachochote wa clouds,simendi huyu jamaa kwa kujifanya anajua sana kumbe anaungua na jua.
 
Kibonde endelea kutafuta ukuu wa wilaya (DC) kwa nguvu zako zote, Nape atapeleka taarifa zako kwa JK na atakulipa fadhila mda si mrefu, au ataunda wilaya mpya kwaajili yako coz naona unajipendekeza kwa uwezo wako wote.
 
kulidiscuss hilo bichwa boga humu ni kulidhalilisha jukwaa!mods close this thread.

Itanichukua muda mrefu bado kumuelewa Kibonde.
Ni mtanzania lakini anavyodanganya kuwa ni Mnyakyusa bado hajafanikiwa kunidanganya hivyo!.. Kwetu mbeya hatuna mbegu ya aina hii..
 
Yaan ninyi watu mnashangaza sana kila anayepinga mwenendo wenu kwa manufaa ya TAIFA hili katumwa yaani ninyi mnapenda ubabe ubabe kutukana watu na hayo yote ni kati ya yale yamchukizayo mungu badilikeni kwa faida ya Tanzania yetu
Mch kimaro, ebu nifafanulie hapo kwenye rangi nyekundu, huyo ni yupi? maana wapo wengi hao!
 
Kumbe kibonde bado ni mtangazaji wa cloud unajua tatizo la hicho kipindi cha jahazi huwa hakina maandalizi huwa waendesha kipindi hufika studio wakiwa hawana walichotayarisha kuzungumza.

Na kwa uvivu wao kwa kutokuwa wabunifu hubakia kuzungumzia maisha yao na wake zao kiacsi wanawaamisha wasiona mbali kuwa wao wanajua kilakitu hivyo wanapokuja na stori zisizo namashiko wanajua wasikilizaji wao watawaunga mkono kipindi cha jahazi kinazidi kupoteza ladha tofauti na kilivyoanzishwa kwasasa nikama kijiwe cha wala unga hivi kikichafuliwa na huyo kibonde siku sio nyingi mwenye kito hicho atapata hekima na kumuondo akae pembeni
 
Msipoteze muda wenu kumjadili huyu demu, yeye anafukuzia u-DC, huenda mgonjwa mwenzake atamkumbuka.
 
I heard him speaking as if he is the owner of the radio station or a person with shares or authority in the national assembly. You cant ignore MPS and insult them just like that. Mtu akizama kwenye maji hatuwezi kuchangisha fedha ya kwenda kununua kamba ya kumtoa huko, bali tutatumia hata suruali, kanga, mtandio, shati nk hayo mengine tutafanya Mungu akipenda. Kwa hiyo makinda alijifanya kuweka maslahi ya taifa mbele na siku zote ameyaweka nyuma na akaungwa mguu na kibonde?? It is very bad to a boy like him. Mungu amsaidie. Nilikereka sana!!
 
Nampa pole Kibonde
Nampa pole Ruge
Nawapa pole Clouds
Nawapa pole Wasikilizaji wa Jahazi (Pamoja na Mimi)
Nawapa pole wanaye na Mkewe
Nawapa pole watangazaji wenzake na waandishi wote
Nawapa Asalaam aleykhum Wana JF wote!

Shame on U Kibonde Maji
 
KIBONDE

Kibonde huwa anatarajia ipo siku moja serikali au chama kitamkumbuka ili apate japo shavu kidogo. Mara nyingi hudhania kuwa anachokifikiria yeye ni sawa hivyo akiwa studio hujaribu kuwazima watangazaji wenzie kila wanapotaka kuchangia hoja. Pili, wakati akisoma magazeti hasomi headline yeyote au hataki ijadiliwe hoja yoyote ya kuikosoa serikali.

Pengine kwa busara zake ndiyo maana alikuwa naishi ukweni hadi alipoenda kupanga vyumba mabibo makuburi extenal karibu na baa ya kagambo.
 
Jamani, kibonde nae ni GAMBA cloud fm, pia uwezo wake wa kutafakari mambo ni mdogo sana. Pia kunafununu anahitaji ukuu wa wilaya, kwani siana kadi ya nyinyiem?

Clouds ndio mdomo wa mafisadi kwa sasa, na wakija kuhojiwa pale huwa uwongo mpunga unaliwa, ndio maana jamaa huwa hawamuiti mtikila au lisu mjengoni kwao...................mwendo ndo huo kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake............Kibonde hamtaki ale wanajamvi?
 
Back
Top Bottom