Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

Pole... jamani haka kajamaa kanajulikana fika humu jamvini haina haja ya kumjadili.......... kwa nini tumjadili mjinga
 
Hivi mnaweza kunambia kwa nini walitoka bungeni ama kudai bunge liahirishwe badala ya kuomba mwongozo Bunge lizungumzie janga lililotokea na jinsi gani kuunda tume haraka walishughulikie?
 
Kibonde achunge mdomo wake sana anaweza kumuharibia biashara Joe Kusaga. Mke wa Kusaga ni mzanzibari na anaweza kuwa ndugu, rafiki, jirani au mtoto wa rafiki yake kwenye huo mkasa. Sasa, haiwezakani redio ambayo ina uhusiano na mzanzibari itumuki kuwakishifu wanzanzibari hasa wakati huu wa msiba!

Mkuu wangu huwa sipendi mzungumzia mdogo wangu Kibonde sababu nafahamu toka 4flats pale Upanga,Muhimbili primary school mpaka Mzizima sec.sch. Hana maana,namshangaa kaka yangu Kusaga anaposhindwa kumfunga kidhibiti mwendo! Wabunge wa Zanzibar na upinzani walitoka nje jana kwa kupinga kitendo cha Bunge kuendelea na kikao wakati wananchi wao wanapigania uhai wao huko baharini.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
acha cheap arguments!!
unajidhalilisha

Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,

Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze

bora umesema mkuu, jamaa hovyo sana. Hoja dhaifu.
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..

Achana nae!Jamani si ameshaeleweka tatizo lake?Kuanzia leo nikiona tu thread inayomuhusu sifungui walakuchangia!Msitafutie watu ban jamani!
 
acha cheap arguments!!
unajidhalilisha

Post yako imenichefua sana japo si mshabiki wa Kibonde.
Inakuwaje mtu mzima unadare KUANDIKA kitu kama hichi!!
unadhalilisha jukwaa na wew mwenyewe,

Yani nimeishiwa maneno yanayofaa kupost humu, ila kwa kifupi ujue mwili unanisisimka kwa shock ya ilixhoandika hapo.
You must be about 15 yrd, hujui dunia, subiri ikufunze

Umetumwa na kibonde eh..
 
Hivi huyu jamaa ana akili timamu kweli?

Kweli ana laana!
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..

Mkuu hadi leo hujui anapo fit huyu jamaa, ana matatizo MAKUBWA sana yule, nadhani ana m bore kika mtu isipokuwa wana ccm wachache wenye fikra mgando.
 
Mkuu wangu huwa sipendi mzungumzia mdogo wangu Kibonde sababu nafahamu toka 4flats pale Upanga,Muhimbili primary school mpaka Mzizima sec.sch. Hana maana,namshangaa kaka yangu Kusaga anaposhindwa kumfunga kidhibiti mwendo! Wabunge wa Zanzibar na upinzani walitoka nje jana kwa kupinga kitendo cha Bunge kuendelea na kikao wakati wananchi wao wanapigania uhai wao huko baharini.
Timbilimu mkuu nijuze, Sasa walipofunga Bunge walisaidia nini ktk kuokoa wale watu waliozama?..Nashindwa kuunganisha maana sielewi inasaidia nini kuvunja Bunge au ilitakiwa kuendelea kujadili hoja ya Mbunge wa Wawi jinsi gani bunge linaweza kusaidia.
 
Tafadhali Kibonde usijaribu kuturejesha edeni, Watanzania pamoja na wabunge wa upinzani tumeshatoa blanketi tafadhali acha kuturejesha nyuma. kutoka kwa waheshimiwa hawa ni sawa na wanatekeleza haki za kidemokrasia za kusikiliza na kutii hisia zao juu ya ajali!
 
Bwabwa alochoka huyo.owner wa Clouds naye ndo hivo kaibukia uchokaraa hawezi kumanage chombo chake na mtizamo wake finyu! CCM hao!
 
Nimemsikia Kibonde akiwa kwenye kipindi Clouds FM akiponda uamuzi wa Wabunge wa upinzani kutoka bungeni jana baada ya Spika Anne Semamba Makinda kupuuza hoja ya Mhe.Mbunge wa Wawi.

Natafuta kundi la kumuweka huyu Jamaa bado sijapata!..
Pesa za MOU hazitumiki vizuri
 
Arv hizoooooo!!

Doooh!
Mkuu kumbe mwenzetu yupo kwenye ARV's?
Basi naomba nisitishe kikao cha bunge hadi kesho saa tatu asubuhi kwa sababu naujua ule ugonjwa sometimes huwa unashambulie Neva za ubongo kwa kasi.. Pole sana Kibonde! Hujafa hujaumbika Best!.
 
Back
Top Bottom