Wabunge wa Upinzani... Hii imekaaje wadau?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Mimi ninaomba kujulishwa kwa wabunge wa vyama vya upinzani Kuwa karibu na Rais...(Mwenyekiti wa CCM) hii imekaaje?

Maana kuna baadhi ya wabunge wa upinzani wamekuwa na uswahiba na Rais wa JMT ambaye ni Mwenyeketi wa CCM...je hawa uswahiba wao unatija kwenye upinzani au wana sababu zao...zilizo nyuma ya pazia?

Mimi binafsi aingii akilini kwani urafiki unaweza kuwa wakati wa afla fulani lakini unaokuwa nje ya hapo nakuwa na wasiwasi....sijui nyinyi mnasema vipi kwahili..

Mimi nawasilisha!
 
Hao ni INZI wake; ndio maana wengine anawateua kuwa wabunge na wengine anasafiri nao kwenda South Sudan!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom