Wabunge wa Uingereza wamtaka Blatter avue gamba

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Wabunge 14 wa uingereza wamemtaka raisi wa shirikisho la soka duniani (FIFA ) ajiuzulu kwa kile wanachodai matamshi yasiokubalika ya ubaguzi wa rangi. Naona dhana ya kujivua gamba limekwea pipa mpaka ughaibuni. Lakini bado najiuliza nini maslahi ya uingereza kwenye hili mpaka wanasiasa wanaingia?

Source: BBC World tweets
 
Back
Top Bottom