Wabunge wa tanzania waonyesha uzalendo wahali ya juu

GIB

JF-Expert Member
Mar 2, 2012
336
92
Spika ametangaza leo bungeni kuwa posho ya siku moja ya wabunge wote wa Tanzania itachukuliwa na kupelekwa Zanzibar kusaidia shuhuli za uokoaji.
Wabunge tunawashukuru sana kwa moyo wenu huu.
Pia spika ameahirisha bunge hadi ijumaa.
Source live kutoka. www.arushamambo.com
 
........Hizo posho zingechukuliwa kipindi kile hiyo boti ilipozimika baharini, na kunusuru uhai wa watu 286
ingekuwa vema zaidi
 
Huyu anajaribu kujisafisha ingawa hasafishiki.

Jana si alikuwa anakataa kuahirisha Bunge?

Leo amepata wapi huruma ya kuchangia wahanga wa meli?
 
Wana ndugu boti zetu nyingi ni mbovu zinahitaji matengenezo makubwa au zinunuliwe nyingine. Boti zetu nyingi hazifai hata kua majini. Alafu wasimamizi bandarini wawe makini boti ya abiria 200 isipakie abiria 400 mnahatarisha maisha ya watu bure. Mwakyembe kazi kwako wenzako waliokutangulia wameshindwa tunakuangalia wewe.. Kila mwaka saivi unasikia boti imezama somethin somewhere is not right
 
Siasa ni upumbavu wa hali ya juu.
Call your enemy what you are, and tell exact opposite of the truth.
 
Ni kujikosha baada ya blunder alilofanya jana na magamba watakuwa wamejadiliana kuafikiana hilo kuzima aibu ya jana..Ila tatizo ni letu watanzania kwa kuendelea kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa.
 
........Hizo posho zingechukuliwa kipindi kile hiyo boti ilipozimika baharini, na kunusuru uhai wa watu 286
ingekuwa vema zaidi

Unamanisha hakuna alikufa? Mkuu??? 286 kunusuru uhai? Unamanisha nn?? Nijuavyo mm meli ilikuwa na idadi hiyo ya watu and some of them they have gone.
 
Uzalendo upi wakati wanaenda znz kuoKoa wanataka posho za safari
 
Unamanisha hakuna alikufa? Mkuu??? 286 kunusuru uhai? Unamanisha nn?? Nijuavyo mm meli ilikuwa na idadi hiyo ya watu and some of them they have gone.

Haikuwa mara ya kwanza wala ya pili kwa meli hiyo kukumbwa na masaibu hayo...
 
Spika ametangaza leo bungeni kuwa posho ya siku moja ya wabunge wote wa Tanzania itachukuliwa na kupelekwa Zanzibar kusaidia shuhuli za uokoaji.
Wabunge tunawashukuru sana kwa moyo wenu huu.
Pia spika ameahirisha bunge hadi ijumaa.
Source live kutoka. www.arushamombo.com

Hawana haja ya fedha za walarushwa.
 
Spika ametangaza leo bungeni kuwa posho ya siku moja ya wabunge wote wa Tanzania itachukuliwa na kupelekwa Zanzibar kusaidia shuhuli za uokoaji.
Wabunge tunawashukuru sana kwa moyo wenu huu.
Pia spika ameahirisha bunge hadi ijumaa.
Source live kutoka. www.arushamombo.com
Source yako nimeitafuta wala haipatikani.....pengine browser yangu tatizo!
 
Kwanini tusubiri mpaka tatizo litookee ndio "tujifanye" tunatatua?.Kweli nchi yetu inaVILAZA wengi...wala tusimlaumu Mungu kwa yaliotokea. Ujinga mkubwa ni wetu wenyewe.....
 
sijaelewa unamaanisha nini mdau?

Wapi hujaelewa mdau? kama ni yale maandishi mekundu hiyo ni kauli mbiu ninayotumia.
Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
 
Back
Top Bottom