Wabunge wa NCCR-Mageuzi wajipanga kumng'oa Mbatia

Jiwe la Ukara

Member
Jul 15, 2011
44
31
Kulikuwahi kuvuma tetesi kuwa kuna mpango wa kumng'oa Mbatia katika nafasi ya uenyekiti NCCR-Mageuzi. Katika mpango huo baadhi ya mbunge/ wabunge kutoka KIGOMA ana/wanahusika. Wana JF mpango ulifikia wapi?
 
Simtetei mbatia, ila wenzetu wa kgm is too much yani wakiwa wengi tu ndani ya jumuia fulani wao lazima waanze kufikiria kupindua! Si kwenye vyama vya siasa hata makanisani pia wanawasumbua sana.

Kwa mtazamo huu hawwezi kufikia malengo ya juu. Ni lazima wajifunze kuongozwa na watu wengine pia na pale inapowezekana kuongoza basi waongoze lakini si kwa kulazimisha.
 
Mbatia deserves anything he gets! Amekuwa anasimamia hewa!

On the other hand Kigoma is slowly acquiring a very bad reputation. Wamekuwa na mlolongo wa u-mamluki na kigeugeu. Dr Kaborou, Kafulila, Zitto, na hata Kakobe! Na kama Mbatia atapinduliwa nadhani Kikwete atakuwa anajua mpango mzima kama sio kushiriki. Siku chache tulisoma comments za Zitto kuhusu 'friendly talks' kati yake na Kikwete wakati anazindua ujenzi wa daraja/barabara huko Kigoma, na alisema kuwa Kikwete alisema anataka arithiwe na mtu kijana! Then ikaja trip ya South Sudan Zitto akawa kwenye msafara na nilihoji kwa nini sio 'Shadow Minister wa Foreign Affairs kama nia ilikuwa kujumuisha upinzani?

Sio vizuri ku-sterio type eneo au watu lakini kama ambavyo Nigeria imejikuta na reputation ya 'utapeli' wabunge wa Kigoma nao wanatoa taswira mbaya sana kuhusu 'uaminifu'- hawaminiki. There is nothing bad kama kupoteza trust!
 
Mkuu hilo wala si jambo la kushangaa. Si unawaona wajomba zao wa kule Rwanda na Burundi?
 
Is Mbatia so threat to His Excellence Jakaya Mrisho Kikwete to that extent? You must be kidding if not day dreaming
 
Mbatia atapinduliwa mapema september mwaka huu kama sehemu ya kujivua gamba.
Mbatia amekuwa katika makundi ya rostam na alipewa 200m uchaguzi 2010 lakini akashindwa na mwanamke.

Mbatia ameshindwa kwa kura 10,000 lakini kafungua kesi kupinga ushindi huo.

Mbaitia amekuwa anatoa kauli za kuunga mkono malipo ya dowans na kuwatetea akina lowasa.
Alipewa peasa na lowasa afungue kesi dhidi ya samweli sitta

nccr wanasema ni bora mbatia ajivue gamba sambamba na rostam
 
Is Mbatia so threat to His Excellence Jakaya Mrisho Kikwete to that extent? You must be kidding if not day dreaming

No. Mbatia is not threat but his removal is part of the reconstruction of NCCR-Mageuzi & create space for a few 'desciples' from CHADEMA. You need to think NCCR- Mageuzi & CHADEMA with Kigoma in the middle as a weapon of mass destruction!
 
Mbatia deserves anything he gets! Amekuwa anasimamia hewa!On the other hand Kigoma is slowly acquiring a very bad reputation. Wamekuwa na mlolongo wa u-mamluki na kigeugeu. Dr Kaborou, Kafulila, Zitto, na hata Kakobe! Na kama Mbatia atapinduliwa nadhani Kikwete atakuwa anajua mpango mzima kama sio kushiriki. Siku chache tulisoma comments za Zitto kuhusu 'friendly talks' kati yake na Kikwete wakati anazindua ujenzi wa daraja/barabara huko Kigoma, na alisema kuwa Kikwete alisema anataka arithiwe na mtu kijana! Then ikaja trip ya South Sudan Zitto akawa kwenye msafara na nilihoji kwa nini sio 'Shadow Minister wa Foreign Affairs kama nia ilikuwa kujumuisha upinzani? Sio vizuri ku-sterio type eneo au watu lakini kama ambavyo Nigeria imejikuta na reputation ya 'utapeli' wabunge wa Kigoma nao wanatoa taswira mbaya sana kuhusu 'uaminifu'- hawaminiki. There is nothing bad kama kupoteza trust!
Loh! Ujumbe mzito huu! I hope umesomwa na wadau husika!
 
No. Mbatia is not threat but his removal is part of the reconstruction of NCCR-Mageuzi & create space for a few 'desciples' from CHADEMA. You need to think NCCR- Mageuzi & CHADEMA with Kigoma in the middle as a weapon of mass destruction!
Mkuu hapa nimeanza kuzinduka usingizini sasa. Kwa wanaojua kuunganisha the dots unaweza ukaelewa hii point ya huyu mkuu. Reconstruction of NCCR to fight cdm! Yaah this is a point. Kwa hiyo mkuu wanataka iwe ccm-B ya mwaka 2015 nini? Je cdm wameshalijua hili tayari? CCM wanapambana kukiua chadema kwa mbinu yoyote ile hata kama itakuwa ni ya tukose wote. Nadhani zitto huenda akawa anajua huu mpango au hajui japo analengeshwa kunaswa kwenye huu mtego. Kwa jinsi mambo yanavyowakalia vibaya ccm wanaweza hata kuungana na chama hiki kipya cha kgm kupata Raisi ambaye ni kijana kama alivyosema JK. Lakini wasiwasi wangu ni mmoja tu kwamba hiki chama labda kitabaki kuwa cha wana kgm tu maana kwa njinsi tunavyowafahamu huwa hawakubali kuongozwa na mtu wa tofauti na wao. Na sitarajii kitaweza kuwa na faida kwa watanzania zaidi ya kutumiwa tu na ccm kama toilet pepa.CDM must work on this matter bila kulichukulia kama mzaha maana ni dalili zimeonyesha. Please cdm work on this warning signal. CDM lazima wajuwe kuwa zipo mbinu nyingi sana za kuwamaliza hivyo wasipuuzie warning information kama hizi.
 
Mbatia deserves anything he gets! Amekuwa anasimamia hewa!On the other hand Kigoma is slowly acquiring a very bad reputation. Wamekuwa na mlolongo wa u-mamluki na kigeugeu. Dr Kaborou, Kafulila, Zitto, na hata Kakobe! Na kama Mbatia atapinduliwa nadhani Kikwete atakuwa anajua mpango mzima kama sio kushiriki. Siku chache tulisoma comments za Zitto kuhusu 'friendly talks' kati yake na Kikwete wakati anazindua ujenzi wa daraja/barabara huko Kigoma, na alisema kuwa Kikwete alisema anataka arithiwe na mtu kijana! Then ikaja trip ya South Sudan Zitto akawa kwenye msafara na nilihoji kwa nini sio 'Shadow Minister wa Foreign Affairs kama nia ilikuwa kujumuisha upinzani? Sio vizuri ku-sterio type eneo au watu lakini kama ambavyo Nigeria imejikuta na reputation ya 'utapeli' wabunge wa Kigoma nao wanatoa taswira mbaya sana kuhusu 'uaminifu'- hawaminiki. There is nothing bad kama kupoteza trust!
Ni kweli, kwa watu wenye kufikri kama mimi na wewe, kamwe hawawez kuwaamin politician kutoka kgm, ni wanafiki, mamluk na wepes kurubuniwa. Mifano uliyotoa wewe ni ya ngaz ya kitaifa, lakn hata madiwan wenye asili ya kgm wako namna hiyo. Kuna mmoja huku kwetu wa cdm lakn aliattend mkutano wa hadhala ulioandaliwa na wanaccm. Kwel wana mvuto ktk siasa lakn hawaaminik. Mbatia aangalie maana sasa wanasema ni chama cha kgm, watampindua kweli. Si unaona zzk alivyokomaa kutaka cdm chairposition.
 
Mambo ya udini na ukabila siyapendi kweli,dhana nzima ya kukijenga upya chama cha nccr mageuzi ni nzuri kwani kama chama cha upinzani inabidi kirudie enzi zake,kijenge imani kwa wananchi na kioneshe upinzani wa kweli lakini mbona mnahusisha ujenzi huu wa nccr na kigoma?kama kafulila anataka kuwa mwenyekiti na anauwezo basi apewe.mbona zito alijalibu cdm?hoja si ukigoma bali ni uwezo jamani wa kuongoza na ushawishi wa kupata wanachama wengi.
 
Kwamba NCCR kama chama cha upinzani kinahitaji re-construction hilo halina mjadala,sina uhakika na usafi na malengo ya wanaoandaa mpango huo

Mbatia nimemfuatilia kwa angalau miaka ya karibuni,ha- deserve(fai) kuwa mwenyekiti wa chama makini cha upinzani sawa na A L Mrema.
 
Hata Mimi nitawasaidia kumng'oa, kiongozi gani hana maadili ya jinsi yake? Mwanaume gani amelegea vile Kama binti eti naye anataka dhamana ya kuwaongoza Watanzania. Yaani mimi nawasikitikia hata wafuasi wake kuona kuwa wanaongozwa na Bwabwa
 
wabunge wa nccr ni vijana na wanajua kujenga hòja.Na kama sikosei ndio chama chenye wabunge wenye wastani wa umri mdogo bungeni.Tuache ushabiki,pia ni wasomi wana hoja nzuri sana bungeni.
Mimi naona sasa ni muda muafaka wa mbatia kuachia ngazi.Kiongozi gani ambaye hana mvuto na msimamo nadhani hata mrema anampita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom