Wabunge wa NCCR 1995

Lakini mziki wao haufikii mziki wa Chadema kwa sasa.Upinzani unapokosa mizizi ni rahisi kumomonyoka
 
Huyu mzee wagombe yaan kumbe alikua mpinzani mzuri sana?!Alivuliwa ubunge na Warioba kivipi?Na kwanini ali asi chama?
 
Nina wasi wasi na Makundi kama alikuwa upinzani, ngoja nitacheki vizuri nitzrudi baadaye, Mtungireyi nadhani alikuwa TLP.

Makundi alikuwa upinzani kupitia TLP (2000-2005) kabla ya hapo alikuwa Mbatia (1995-2000). Jimbo la vunjo ni miaka mitano anakuja mwingine ndio kawaida yao
 
Ni naomba niweke safi kwa J. F. mbatia na Jesse MAKUNDI. Mbatia alishinda kwa zaidi ya80% jimbo la vunjo uchaguz mkuu 1995. Kwa tiketi ya NccR baada ya chama kukumbwa na jinamizi mwaka 2000 alishinda meja Jesse MAKUNDI kwa tiketi ya TLP hatahivyo MAKUNDI hakuweza kutetea kiti chake uchaguz uliofuata yaani2005_2010- jimbo lilibaki ccm chini ya Kimaro Aloyce hali kadhalika ccm nao hawakutetea kiti hicho kwa mara ya pili. Badalayake waliiachia njia tena TLP chini ya Mrema A Lyatonga
 
Ndo Wassira huyu huyu, kipindi hicho alijulikana sana kwa jina la Tyson.
Washashi hatari, kuna mwandishi aliandika kwamba Wasira alikuwa swahiba wa mtu fulani, akimaanisha walikuwa marafiki. Wasira kwa kutofahamu kiswahili akafikiri kaitwa shoga, akawa anamtafuta huyo mwandishi amwadhibu. Ndiyo akabatizwa jina Tyson. Washashi bwana!
 
hahahaha, dah, jamaa alidhani kaitwa bwabwa,
 
Back
Top Bottom