Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za ujenzi maana sasahivi ukipita katikati ya haya magorofa ni hatari tupu, vile vile wabunge watataka kufahamu kuusu uzwaji wa magorofa ya zamani maana mswada ulisha pitishwa bungeni tangu mwaka 2005 kama wakazi wa ubungo wauziwe izo nyumba. Wapangaji wa ubungo NHC wamejikusanya kwa wingi wakiwasubiri wiongozi hao wafike ili kikao kianze. Kama Msechu hakishindwa kujieleza vizuri, wabunge hao wamepanga kukwamisha bajeti nzima ya wizara ya mama Tibaijuka!
Mimi nafikiri NHC kuna mambo mengi ya kuangalia zaidi ya hizo Nyumba......Sidhani kama CAG kapita huko vizuri na kama kapita Taarifa zinasemaje? Ifike mahali haya mashirika ya Uma yatolewe report zake individually. Huu ujenzi tunaouskia kila siku mara Medeli, Mara Mindu, Mara Ubungo nina shaka nao.................Hizi projects naona zimekaa kisanii.
 
Hawa wabunge walikuwa wapi siku zote shirika lilipokuwa na hali mbaya???? Sasa hivi angalau limepata uongozi wenye dira na limeanza kurudisha matumaini kwa watanzania wenye upeo mkubwa ndio wameanza kuingiza siasa zao ili wavuruge mambo.......mkurugenzi songa mbele........hawa wabunge washindwe na walegeee!!!
 
Back
Top Bottom