Wabunge wa kigoma wote ccm, nccr,chadema wameapa kutopitisha ya mh;magufuli ,wizara ya ujenzi miundo

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
wabunge wa kanda ya kigomakupitia msemaji wao mkosamali mbunge wa muhambwe,, kibondo kupitia nccr alipokuwa akichangia bungeni leo amesema kuwa wamejipanga kutopitisha bajeti hiyo kufuatia kutengewa bilion3.5 mkoa wa kigoma,, kwa barabra za km300... mbali na hapo 2011/12 walitengewa bilion6,, lakini hawakupewa na baadae bilion 2.3 nazo hazijafika mpaka leo,, jambo ambalo limewakera wabunge wa kigoma wamesema mpaka waongezewe hela ndowataunga mkono bajeti ya wizara hiyo,, kwamba imewatenga wizara hiyo na imesehau mno,, tifauti na mikoa mingine kama kilimanjaro na ndo maana wabunge wa kilimanjaro hawaongei kitu bungeni leo,,,:flypig:
 
Waziri wa Ujenzi anatoka Mkoa gani?
 
Hivi kwanini "Kilimanjaro" ipewe pesa nyingi za barabara?? kwenda wapi? na kuna nini Kilimanjaro

Lazima kuna kitu inafanyika katika process ya kuandaa budget..experts wa kichaga wanahamisha pesa za kigoma/lindi kwenda moshi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom