Wabunge wa Dar wakacha vikao muhimu...

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Wabunge kukacha vikao hawawatendei haki wananchi
Soma mwenyewe mimi simo: lau hivyo vikao vya RCC vingekuwa telivised... wasingekosa... si unajua mambo ya usanii... Kweli taifa linaenda mrama.

"Serikali legelege inatokana na Bunge Legelege a.k.a Wabunge wasanii": I qoute of signature of a JF Member.

Dada THEOPISTA NSANZUGWAKO: Ubarikiwe na Bwana eeh.
 
Nadhani ni tatizo la kuitisha kikao katika kipindi kisichokuwa muafaka. Kama RCC inategemewa kujadili masuala ya bejeti, ni bajeti ipi inayolengwa kwa sababu mchakato wa kuandaa bajeti kwa upande wa serikali umekamilika na ndiyo sababu hivi sasa kamati za bunge zinakutana kuweka mambo sawa. mkuu wa mkoa amekumbuka shuka hali umekucha na ni busara kukiri kuwa amechelewa kuitisha kikao chake badala ya kulaumu wabunge. Zaidi ya yote nini tija ya vikao vya RCC kwa bajeti na maendeleo ya mikoa kwa sababu mambo mengi yamepelekwa wilaya.
 
Back
Top Bottom