Wabunge wa CUF washtukia NDOA yao na CCM

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Kwa tukio la jana la Hamad Rashid kukataliwa hoja yake ya kuomba bunge liahirishwe kutokana na dharura ya ajali iliyotokea Zanzibar, na kisha wapinzani wote kuamua kutoka bungeni kuwaacha wale wa CCM waendelee kupitisha bajeti huku wananchi wanakufa maji. Ni dhahiri tukio lile limewafanya CUF wafikirie kwa kina ndoa yao na bwana yao CCM inawapeleka wapi?
Ujumbe wa leo: " Ukifanya urafiki wa kimapenzi na CCM kama walivyofanya CUF huko Zanzibar, basi tubiri yakufike ndo utang'amua makucha ya CCM"
 
Na hawatakuwa tayari kujumuika na mashoga wawili mmoja amevaa kaki na mwengine amepakaa rangi ya kijani, wakati ndugu zao wa damu wanazama baharini au wanafikwa na maafa.
 
Umeonaa eeeh! CUF sasa watachagua kwenye UJANE au UMALAYA baada ya kuachika na mabwana zao CCM.

Na hawatakuwa tayari kujumuika na mashoga wawili mmoja amevaa kaki na mwengine amepakaa rangi ya kijani, wakati ndugu zao wa damu wanazama baharini au wanafikwa na maafa.
 
CCM hawakubali ndoa ife utamu ulishokolea haachwi mtu.Jamaa walitoa mahari kubwa sana kwa kumpa seif u-makamu wa rais, vinginvyo wateme hicho cheo
 
Umeonaa eeeh! CUF sasa watachagua kwenye UJANE au UMALAYA baada ya kuachika na mabwana zao CCM.

Bora wachague yote kuliko ushoga wenu pale bungeni,yale makoti yenu bora yapigwe marufuku mle ndani ya bunge ,yana harufu mbovu.
 
Bora wachague yote kuliko ushoga wenu pale bungeni,yale makoti yenu bora yapigwe marufuku mle ndani ya bunge ,yana harufu mbovu.
Kweli unalipwa vyema
Yana harufu mbovu kwa kuwa wananuka au
Acha dharau za ajabu
Hilo gwanda lenu ndo umeona lina harufu nzuri
 
Kweli unalipwa vyema
Yana harufu mbovu kwa kuwa wananuka au
Acha dharau za ajabu
Hilo gwanda lenu ndo umeona lina harufu nzuri

Umeonaa eeeh! CUF sasa watachagua kwenye UJANE au UMALAYA baada ya kuachika na mabwana zao CCM

Mr Rocky weka jazba pembeni kuwa mkweli ,hivi hayo maneno ya rangi ni ya uungwana ,kwenye chama kuna ndugu zetu jamaa zetu n.k ,dawa ya moto ni moto ,na ujinga kama huo hujibiwa kwa ujinga tu,
 
Bora wachague yote kuliko ushoga wenu pale bungeni,yale makoti yenu bora yapigwe marufuku mle ndani ya bunge ,yana harufu mbovu.
Wewe ni mbunge au? Umejuaje makoti yana harufu mbovu?
 
Bora wachague yote kuliko ushoga wenu pale bungeni,yale makoti yenu bora yapigwe marufuku mle ndani ya bunge ,yana harufu mbovu.

Harufu umeisikia vipi kama hawakukumbatia? Harufu ya mpenzio huipata zaidi mukiwa karibu. Tueleze umetoka wapi na khaki ili hali wewe ni KIJANI?
 
Back
Top Bottom