Wabunge wa CUF waachiwa huru

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
49
Tukiwa tunaingia mitamboni, tumepata habari kuwa wale wabunge wa CUF waliokuwa wamefunga ndoa kwa ujanja ujanja, wameachiwa huru,

hata hivyo muda mfupi wamekamatwa tena, sababu za kukamatwa tena nitafuatilia
 
mkuu plz elaborate walifunga ndoa kiujanja ujanja?sijakupata hapo mkuu
 
mkuu plz elaborate walifunga ndoa kiujanja ujanja?sijakupata hapo mkuu
Kilichofanyika ni hiki, kuna hakina mama wa kiharabu walikuwa wanataka pasport, lakini wakakwama, hawa jamaa (wabunge) wakaamua kufunga nao ndoa chap chap ili ionekane wao (hakina mama wale) ni wake zao.

baada ya kufanya uchunguzi ikaonekana ni ndoa za ujanja ili kuwasaidia wale hakina mama,

hatua hii ilipelekea bunge kuunda kamati ambayo ilifichua hili,

kilichofuata ni kusimamishwa ubunge na kufunguliwa kesi za kugushi,

na hatimaye leo wamefutiwa mashitaka.
 
Tukiwa tunaingia mitamboni, tumepata habari kuwa wale wabunge wa CUF waliokuwa wamefunga ndoa kwa ujanja ujanja, wameachiwa huru,

hata hivyo muda mfupi wamekamatwa tena, sababu za kukamatwa tena nitafuatilia
Wabunge wepi hao...habu wataje usizuwe hapa
 
Wabunge wepi hao...habu wataje usizuwe hapa
In fact sio wabunge wa bunge hili, walikwua wabunge kabla ya uchaguzi wa 2005. Ni Khamis Ally Salehe aliyekuwa Mbunge wa Magogoni na Khalifa Mohamed Issa aliyekuwa mbunge wa Mtambwe. Walidaiwa kufunga ndoa na wanawake wa Kisomali (Fardhosa Mohamed na Sophia Rage).
 
Sifa ya ubunge huwa haiishi, hata Nyerere alikuwa anaitwa mwalimu na wakati alikuwa hafundishi,

Any way, mambo ya lugha tuyaache, ebu nijulishe, baada ya kukamatwa tena nini kinaendelea dhidi yao mpaka sasa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom