Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.
M4C ni njia muhimu kujenga eleimu ya uraia, na M ndo pia kujenga demokrasia ya kweli kwa kuamsha chachu ya ufahamu wa maisha na msitakabari wa nchi hii.CCM ni muda itatoa ghiriba na kuficha ukweli ambao chama CDM inafanya kwa operesheni mbalimbali.kwa xaxa wananchi walio wengi wanapenda xana shughuli hiyo iendelee kufanywa.

Ni upofu kutoa elimu ya uraia na demofrasi wakati wa kampeni za uchaguzi pekee.Mwisho wa uchaguzi ndo mwanzo wa uchaguzi mwingine kwa kuzingatia mihimili ya demokrasia kuhoji uwajibikaji wa serikali na ahadi zake.je kama ccm lazima ihojiwe ilani yake na ahadi zao kama zimetekelezwa na kueleta tija katika jamii.Hivyo mdau anayeleta propaganda mfu ni kichaa , huo ni utoto.CDM inawasomi wengi wazuri na wenye hekima hawazi kushitushwa na propaganda zisizo na tija kuzuia hoja zenye tija na sizo na ghiriba zisitolewe.

Mdao alietoa thread hii natoa hisa zake za woga wa operation hiyo.lakini kwa msitakabari wa siasa za kisasa anapoteza muda.hata hivyo 2mil za wabunge mbona kidogo sana kuendesha operehseni hiyo.M4C INAENDESHWA NA UMMA na si fedha ya wabunge
 
Ndugu tunaomba utuwekee majina ya hao wabunge wasio na uzalendo , na kama usipo weka list hapa wewe utakuwa ni mzushi a.k.a mmbea.
 
katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa chadema walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa chadema kwa ajili ya mchango wa m4c inayoanza leo mikoani.wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.
pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhulia mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia
a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhulia vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?
mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.
Tuntemeke umekuja na CD mpya?
 
Napenda kuwasikitikia vijana wenzangu mnaoshabikia bila kujua nini nyuma ya pazia na nini kinaendelea ndani ya cdm naona bado mnatumika bila kujijua mfano mnamuiga molemo wakati yeye anaposho na analipwa mshahara na chama na ni mwaka jana tu chama kilimuolea mke na kumpangishia nyumba.

vijana fuatilieni wenzenu waliopata mikasa wakiwa ndani ya harakati za chadema na chama kiliwapa msaada gani?mfano mdogo fuatili vijana waliokamatwa iramba maghalibi kwa kesi ya mauwaji halafu utajua undani wa cdm kwa vijana.

kuna mambo mengi sana nitawaletea ili myajue na muache kutumika maana najua mnasumbuliwa na emotion tu bila reason ya msingi
nimekaa kimya kwa mda ili kuona uelewa wenu na kama kunambunge hajalaani kitendo cha kuchangishwa aje hapa nimpe dose yake hapa
 
Shose ngoja nipite maana penye ukweli Pro-CDM watakumaliza, karibu sana maana juzi tu umejiunga na kuporomosha Udaku sisi tutabaki watozamaji
 
Shose ngoja nipite maana penye ukweli Pro-CDM watakumaliza, karibu sana maana juzi tu umejiunga na kuporomosha Udaku sisi tutabaki watozamaji

hakuna udaku hapo mimi sisukumwi na emotion za mashabiki.kama unataka kujua nilisemalo waulize wabunge wa cdm kama huwa wanakuwa willing kutoa hizo pesa ama huwa wanalazimishwa kwa mikwara mingi kutoka kwa wenye chama chao
 
Imenibidi nijaribu kuijibu hii issue ya huyu mtu, kiukweli kabisa huyu jamaa kwa jinsi alivyoandika habari yake si kisomi hata kidgo.

Inawezekana ikawa kweli h
Hili jambo lipo lakini kwa jinsi alivyoiandika habari yake inatushawishi kuamini kiwa ni uzushi mkubwa kwani hakuna data alizoweka hapa ni kama udali hivi.

Mwandishi ilibidi atoe mifano na za data zake. Lakini hakuandika hata sourse ya habari hake hakuna.

Jamani urbu inabidi tufike mahali yijaribu kuziacha chuki zetu na kujalimaslahi ya kitaifa kwa ujumla. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa just bla bla tu hapa.

source:wabunge wa chadema waulize private watakuambia ukweli
 
katika uzi wote umetaja majina mawili Dr.Slaa na bi Josephin nafikiri ndio lengo lako kuu.

sasa wewe hujui chama kwa sasa kinaendeshwa kwa matakwa ya josephine.kama hujui siku ukijua utakimbia chama
 
source:wabunge wa chadema waulize private watakuambia ukweli
Wamekutuma uwasemee wewe?Mbona wao wenyewe wanamajukwaa mengi tu ya kusemea mambo yao? kwanini waogope mpaka wakutume wewe ambaye hata kujenga hoja huwezi? Wacha kutumika kama mpini wa shoka wewe, unajidharirisha bure.
 
sasa wewe hujui chama kwa sasa kinaendeshwa kwa matakwa ya josephine.kama hujui siku ukijua utakimbia chama
Hizi ni kauri dhahili za Tuntemeke. Pole sana bwana mdogo maana umeshindwa kabla hujaanza. Na watu wa namna yenu huishia kufitinisha watu na kuzeeka kabla ya umri kwani mnatumia ubongo wenu pasipo manufaa kwenu wenyewe wala jamii zenu. Washenzi wakubwa.
 
Wamekutuma uwasemee wewe?Mbona wao wenyewe wanamajukwaa mengi tu ya kusemea mambo yao? kwanini waogope mpaka wakutume wewe ambaye hata kujenga hoja huwezi? Wacha kutumika kama mpini wa shoka wewe, unajidharirisha bure.

wewe unatumika bila kujijua na wewe hoja yako ni nini zaidi ya ushabiki wa kijiita makamanda
 
Hizi ni kauri dhahili za Tuntemeke. Pole sana bwana mdogo maana umeshindwa kabla hujaanza. Na watu wa namna yenu huishia kufitinisha watu na kuzeeka kabla ya umri kwani mnatumia ubongo wenu pasipo manufaa kwenu wenyewe wala jamii zenu. Washenzi wakubwa.

kwani yule mzee wenu atakuwa na umri gani 2015 na vp ameshapata jiko?naona unamsingizia tuntemeke ili waniban
 
katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa chadema walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa chadema kwa ajili ya mchango wa m4c inayoanza leo mikoani.wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.
pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhulia mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia
a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhulia vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?
mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.

Hao wabunge wanao lalamika ni bora waachie ngazi na kuhamia vyama vingine ambavyo haviwabani: CUF, CCM, UDP na NCCR
 
Hapa JF kaka kajipange then uje na issue ingine na sio hii Gamba mkubwa wewe
 
Tuntemeke a.k.a Inocensia a.k.a Shose. Vipi leo Sabrina Sungura huna ugomvi naye? Kama aina ya watu kama wewe ndio mnaotutafutia Rais kama alivyokuchokonoa mdau hapo juu basi huyo Rais asiyetoka Kaskazini ataiuza nchi. Afadhali CCM itawale milele. Mtu unatumia jina bandia lakini huwezi kuwataja wabunge wanaolalamika.

Mtagombana sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi 2015 kinachowasumbua udini,ukabila na uroho wa madaraka haMna muda mrefu mnaparanganyika!
 
Mtagombana sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi 2015 kinachowasumbua udini,ukabila na uroho wa madaraka haMna muda mrefu mnaparanganyika!
Inayosambaratika ni ccm na hayo yameshaanza kuonekana miaka 50 ni ahadi tuu utekelezaji ni zero
 
Unajua heshima ya JF inashushwa na watu wachache sana, na mmoja wao ni wewe...Mkurugenzi wetu wa operesheni na mafunzo alitoa ratiba kuwa wabunge watuhusishwa kwenye mikutano ya mwisho wa wiki tu, na baada ya hapo wataendelea wakurugenzi na makamanda wengine walio nje ya bunge...huu ni ujinga na upumbavu kuleta hoja za kijinga kama hizi mahali ambapo wanakaa watu wenye akili ya kuchambua mambo na kuyafanyia mambo kazi.
 
Mmmmm,shose Gender,mbona wanakushangaa na ulichoandika?niko nao baadhi hapa na mbona wanasema hawajakubaliana kuchangia kiasi chote hicho.
Wamekubali kuchangia 1.1.

Aliyekutuma mwambie atafute lingine wanakijua chama chao na wametoka nacho mbali sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom