Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

Status
Not open for further replies.
Namkumbuka mkandara na uzi wake wa kuwahasa wanachama wa chadema,nina uhakika muanzisha uzi ni pure gamba!!
 
Tuntemeke a.k.a Inocensia a.k.a Shose. Vipi leo Sabrina Sungura huna ugomvi naye? Kama aina ya watu kama wewe ndio mnaotutafutia Rais kama alivyokuchokonoa mdau hapo juu basi huyo Rais asiyetoka Kaskazini ataiuza nchi. Afadhali CCM itawale milele. Mtu unatumia jina bandia lakini huwezi kuwataja wabunge wanaolalamika.
 
Duuuuuuuuu! King kong umesema kila kitu mi sina la kuongeza.

Mtoa mada ameshindwa kuwa taja hao wabunge
 
Chadema.. hiki chama kina matatizo lukkuki... poor them ..

R.I.P CDM
 
Chadema.. hiki chama kina matatizo lukkuki... poor them ..

R.I.P CDM
Ni kweli mkuu kina matatizo mengi sana viongozi wake wametuahidi maisha bora kwa kila mtanzania lakini hakijatekeleza du Chadema bwana!!!!!!! sasa hivi kinachochea vita na Malawi bado kama haitoshi kimeanza kusambaza Ebola huko Kagera
 
Nimesoma cjaelewa umekusudia nn hao wabunge wamekulalamikia wewe au? Acha kufutilia mambo yasiyo kuhusu kama umekosa kazi nenda kauze hata mihogo ushauri wa bure.
 
Mkuu wabunge lazima wachangie , hela yote ya chama inamtunza Slaa na Josephine, na imetumika kwenye harusi ya Slaa, teh teh teh ! kweli wajinga wali wao


Wimbo huu uwaendee maproccm wote wewe ukiwawawakilisha'MAJUNGU SI MTAJI UTAOFANYA MTAJIRIKE,IKIWA MNAONA ELIMU NI GHARI BASI JARIBUNI UJINGA'.CDM HATUANGALII PESA BALI KUNYAKUA DOLA 2015 FULLSTOP.TUNATANGULIA MTATUKUTA MBELE YA SAFARI.
 
Mleta thread ni mpuuzi.Ni mpuuzi kwa kuwa anawaza upuuzi,anapendelea upuuzi na kwa hakika angependelea apate wapuuzi wenzake wa kumuunga mkono katika upuuzi wake.Ni hulka yake,kama mwanajamvi mwenzetu aliyenukuu mabandiko yake ya awali, kusambaza upuuzi.

Mazingira mwaafaka kwa upuuzi wake ni kwa wapuuzi wenzake. Hapa si kijiwe cha wapuuzi.Napendekeza tumpuuze. Kwa kuanzia tusijibu upuuzi wake. Atambue kuwa baadhi ya wananchi wenzetu wanatumia pesa kununua muda internet cafe,wananunua masalio ku rechjarge simu kuweza kupata JF!Muhimu anapoteza muda wa wananchi.

Mpuuzi ni wa kupuuza.

 
Wakiongezeka wengine watatu kama King Kong III upuuzi utapungua hapa jukwaani!!

Majitu mengine sijui yamekulia msalani!!? Linakuja na Mada haina kichwa wala miguu linabandika tu!! Hayajui tunagharamia internet!!?
 
Duuh! watu wamejipa kazi kubwa humu ndani! hawajui kuwa hapa hakuna anayedaganyika! any way endeleeni
 
katika hali ambayo sio ya kawaida wabunge wa chadema walaani kitendo cha chama chao kuwalazimisha watoe sh mil2.1 kwa kila mbunge wa chadema kwa ajili ya mchango wa m4c inayoanza leo mikoani.wabunge hao wanasema kwamba mbona chama kina ruzuku ya zaidi ya mil 250 kwa kila mwezi na pia wabunge pia huchangia kila mwezi chama lakini pesa hizo zinaishia kuwalipa mishahara minono wakurugenzi pamoja na katibu mkuu anayelipwa mshahara zaidi na mil 7 kwa kila mwezi.
pia wabunge hao wanalalamikia magari yao na wao wenyewe kuhudhulia mikutano hio wakati vipindi vya budget vikiendelea bungeni kwa sasa.wanalalamikia
a.kwa nini chama hakitambui mchango wao bungeni na sasa wanalazimishwa kutohudhulia vipindi vya bunge?
b.pesa ya ruzuku inakwenda wapi?
c.kwa nini hao wakurugenzi na katibu mkuu wasifanye hio kazi angali wanapata mishahara minono?
d.kwa nini pesa ya ruzuku inatumika sana kwa ziara ya mchumba wa slaa mikoani wakati hana cheo chochote ndani ya chama?
e.kazi ya wakurugenzi wa chama ni nini zaidi ya kugawana posho na mishahara na majungu yanayopikwa pale chamani dhidi ya wabunge wao?
mwisho wanaomba chama kuwa makini na matumizi ya ruzuku ya chama na michango ya wahisani kuliko kufanya ujasilia mali wa kisiasa kama wanavyofanya sasa.

kwa sasa bunge liko likizo hicho unachozani wewe ni bunge knatambulika kama silly season,bunge tutakuwa nalo kuanzia 2015
 
Mleta thread ni mpuuzi.Ni mpuuzi kwa kuwa anawaza upuuzi,anapendelea upuuzi na kwa hakika angependelea apate wapuuzi wenzake wa kumuunga mkono katika upuuzi wake.Ni hulka yake,kama mwanajamvi mwenzetu aliyenukuu mabandiko yake ya awali, kusambaza upuuzi.
Mazingira mwaafaka kwa upuuzi wake ni kwa wapuuzi wenzake.
Hapa si kijiwe cha wapuuzi.Napendekeza tumpuuze.
Kwa kuanzia tusijibu upuuzi wake.
Atambue kuwa baadhi ya wananchi wenzetu wanatumia pesa kununua muda internet cafe,wananunua masalio ku rechjarge simu kuweza kupata JF!Muhimu anapoteza muda wa wananchi.
Mpuuzi ni wa kupuuza.

Ukishindwa kumpuuza mpuuzi na kujibu upuuzi wake at same time unawashauri wengine waachane na upuuzi uloona wa maana wewe kuuzingatia nani mpuuzi hapo?
 
Unamsaidia Nape kufanya ujinga huu ? Yes lazima wachangie maana Chadema ni Chama chetu wote kichanga sasa kama wako Bungeni kwa ajili ya Chadema hiyo pesa ni ndogo sana.Na kama wanapenda pesa basi waachie ubunge waende CCM kuna pesa chafu za dhuluma
 
Haya malalamiko nimeshawahi kuyasikia live kutoka kwa mbunge wa CHADEMA. Hata hivyo, watu wanapotakiwa kuingia mifukoni kuchangia kulalamika ni lazima kuwepo, ni kawaida na sidhani kama ni wote wanaolalamika. Nimeshasikia mpaka wazazi wanaolalamika wakati wa kulipa ada za watoto wao.
Cha muhimu ni kwamba hawajagoma kutoa.
 
Ukishindwa kumpuuza mpuuzi na kujibu upuuzi wake at same time unawashauri wengine waachane na upuuzi uloona wa maana wewe kuuzingatia nani mpuuzi hapo?


Nadhani hukuelewa maana ya maandishi yangu. Nilikuwa nimelenga kuonyesha umuhimu wa kujiepusha kujibu"madai" ya wapuuzi,kwa kutoyajibu kwa maana wapo wengi na hawaashirii kuacha upuuzi hivi karibuni!

Ukisoma kwa makini maandishi yangu uliyoyanukuu bila kuyatafakari,sikuusumbua ubongo wangu kuhangaika na upuuzi wake!Na ndio maana thread imepungua wachangiaji,nadhani watu makini wamefuata ushaur wangu. Bila shaka umenielewa ndugu Busar!

Najua niandikacho,sina hulka ya ukurupukaji!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom