nice 2
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 747
- 520

Wewe ni CDM-Kata unafuata mkumbo tu, ujui chochote nitajie basi wabunge wawili tu wa CDM ambao hawajachukuwa posho bungeni

Kwani hujui kusoma mpaka nikutajie mimi? Soma...

Wewe ni CDM-Kata unafuata mkumbo tu, ujui chochote nitajie basi wabunge wawili tu wa CDM ambao hawajachukuwa posho bungeni

Tumeshaelezwa kwa maelezo marefu na ya kueleweka na Mhe Zito Zuberi Kabwe, tatizo hatusomi au hatuelewi.

Amefafanua kuwa fomu ya kusaini kwa ajili ya mahudhurio na posho ni moja. Hivyo kuonesha umehudhuria kikao lazima usaini. Ukisaini moja kwa moja unapata posho. Alifafanua kuwa walishapeleka ombi kuwa fomu hizo zitenganishwe, labda sasa bado hawajalifanyia kazi. Usiposaini inaonesha hukuhudhuria, na usipohudhuria sijui mikutano mitatu unafukuzwa.

Kwa upande wake Zito ameeleza kuwa yeye hawatamfukuza kwani kuna njia nyingi ambazo ataonesha kuwa alihudhuria hata bila kusaini. Mojawapo ni uchangiaji. Kwa vyovyote huo ulikuwa uamuzi mgumu aliouchukua, TUNAMPONGEZA KWA DHATI.

Ni uamuzi ambao wengine wanapaswa kufuata. Ila la Muhimu labda wapiganie hizo fomu zitenganishwe ili kuwafahamu nani ni Shibuda type na nani sio.
hawa jamaa ni wanamapinduzi na hakuna anayebisha kuhusu hilo, lakini kuna issue wamefanya na haijanipedeza. nawauliza kwa nini walituhadaa kukataa posho za vikao then wakarudi kwa mlango wa nyuma wakachukua? je ilikuwa ni propaganda ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa?
Tumeshaelezwa kwa maelezo marefu na ya kueleweka na Mhe Zito Zuberi Kabwe, tatizo hatusomi au hatuelewi.
Amefafanua kuwa fomu ya kusaini kwa ajili ya mahudhurio na posho ni moja. Hivyo kuonesha umehudhuria kikao lazima usaini. Ukisaini moja kwa moja unapata posho. Alifafanua kuwa walishapeleka ombi kuwa fomu hizo zitenganishwe, labda sasa bado hawajalifanyia kazi. Usiposaini inaonesha hukuhudhuria, na usipohudhuria sijui mikutano mitatu unafukuzwa.
Kwa upande wake Zito ameeleza kuwa yeye hawatamfukuza kwani kuna njia nyingi ambazo ataonesha kuwa alihudhuria hata bila kusaini. Mojawapo ni uchangiaji. Kwa vyovyote huo ulikuwa uamuzi mgumu aliouchukua, TUNAMPONGEZA KWA DHATI.
Ni uamuzi ambao wengine wanapaswa kufuata. Ila la Muhimu labda wapiganie hizo fomu zitenganishwe ili kuwafahamu nani ni Shibuda type na nani sio.
Mkuu kwa nini wengine nao wasifanye kama Zitto? Wangefanya hivyo posho za vikao zingeondolewa lakini wao wanazipenda na kuzitaka. Katika hili Wabunge wa CHADEMA akiwemo mbunge wangu niliyempigia kura, Ndg. John Mnyika, wameonyesha unafiki mkubwa wa NATAKA SITAKI. Wajivue Gamba la posho mbona mwenzao Zitto amejivua kwa kutosaini?
Ndugu kwa hili tusiwalaumu moja kwa moja MAKAMANDA wetu kwan kwa vigezo vya kutokusaini idadi fulani ya vikao wanakutosa unafikiri kipi bora kusaini na kuendelea kupigia kelele mfumo wabadilishe utaratibu na ikiwezekana kuwe na fomu 2 au kugoma na kufukuzwa?KUMBUKA SI WOTE WAWEZAO KUCHANGIA/KUTUMIA MBINU ALIYOTUMIA MH ZITTO,KWAN MAGAMBA WAWEZA CHACHAMAA NA KUWATIMUA WOTE
Tumeshaelezwa kwa maelezo marefu na ya kueleweka na Mhe Zito Zuberi Kabwe, tatizo hatusomi au hatuelewi.
Amefafanua kuwa fomu ya kusaini kwa ajili ya mahudhurio na posho ni moja. Hivyo kuonesha umehudhuria kikao lazima usaini. Ukisaini moja kwa moja unapata posho. Alifafanua kuwa walishapeleka ombi kuwa fomu hizo zitenganishwe, labda sasa bado hawajalifanyia kazi. Usiposaini inaonesha hukuhudhuria, na usipohudhuria sijui mikutano mitatu unafukuzwa.
Kwa upande wake Zito ameeleza kuwa yeye hawatamfukuza kwani kuna njia nyingi ambazo ataonesha kuwa alihudhuria hata bila kusaini. Mojawapo ni uchangiaji. Kwa vyovyote huo ulikuwa uamuzi mgumu aliouchukua, TUNAMPONGEZA KWA DHATI.
Ni uamuzi ambao wengine wanapaswa kufuata. Ila la Muhimu labda wapiganie hizo fomu zitenganishwe ili kuwafahamu nani ni Shibuda type na nani sio.
Nimeamini wewe ni MTZ Fulani maana kweli umekuja hapa na hoja ya kichovu mno.Posho hizi Mbowe kesha sema sana sana na kufafanua kwa undani .Posho hizo kuziacha kwa kususoa si jibu Chadema wanataka neno posho lifutwe kote na si kwao pekee so uelewe kwamba upupu wako hauna nafasi .Kaa tulia jenga hoja na upupu acha maji marefu hapa jamvini mkuu .
Kuna mbunge mmoja aliwahi kusema kule mjengoni kila mbunge amekwenda kimaslahi na ndiyo maana ukifika nje ya bunge hasa kwenye parking zao hakuna gari ya thamani ndogo,pia wabunge wengi wanapenda pesa na siyo maslahi ya wananchi.Hakika hili la Posho CDM wametia aibu sikutegemea jambo hili.Shibuda hakuwa mnafiki kama wengine.hawa jamaa ni wanamapinduzi na hakuna anayebisha kuhusu hilo, lakini kuna issue wamefanya na haijanipedeza. nawauliza kwa nini walituhadaa kukataa posho za vikao then wakarudi kwa mlango wa nyuma wakachukua? je ilikuwa ni propaganda ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa?
Wanatoa maelezo kwamba ile ni orodha tu ya maudhurio ya mjengoni.Yaani kujiorodhesha kwenye daftari la maudhurio halina mahusiano na kuchukua posho.Duh hawa jamaa wamechemka sana kwa hili.................Mimi ni mwanachama wa CDM damu,naunga mkono hoja mkuu,ni bora watoe tamko juu ya hili,ama sivyo ni doa kwa chama...