Wabunge wa chadema na laana walioitaka.

Mbunge anapotoa ahadi mara nyingi anajua ziko within his/her ability....najua hata huyo Tundu Lissu aliahidi akijua uwezekano wa kutekeleza ahadi upo sidhani kama alitoa in case....
Pia chadema wanafungu la kuchimba visima nchi nzima nadhani hata huko kwa Tundu Lissu watafikiwa,tusiwakatishe tamaa wapiga kura wake!
Bado nakubali chadema kuna wabunge wabunifu...Msigwa kuna mambo amefanya Iringa bila support ya serikali.
By the way,wabunge wa chadema wanapiga kazi ila support ya wananchi is surely unconvincing....tumewatelekeza wawakilishi wetu,tuungane kama taifa kwani wao wanapigania taifa kwanza,yaani kubadili mfumo wa udhalimu nchini.
 
Mkuu laiti watz wangekuwa waelewa, leo hii usingezumbua akili yako na muda wako kutoa elimu kama hii, lakini kwa kuwa ndivyo walivyoamua kuwa basi tuendelee kuwaelimsha usiku na mchana. Mpaka kieleweke, thanks a lotmkuu!

Na usisahau kwamba waliomo humu ni baadhi ya watanzania walio nuia kutafuta mabadiliko na pia sio wote waliomo umu wanaelewa kinacho zungumzwa'wengine wao wapogotu kwa nia ya kupotosha.So tupate elimu hapa then tuwapatie wenzetu wenye uelewa mdogo wasipotoshwe
 
Mwanzo sikuelewa lakini baada ya kupitia mara ya pili nimeelewa, ujumbe umetulia.
 
Kama CCM wako madarakani lakini madudu yanafumuka na kutoka nje, je siku waki kaa pembeni CHADEMA itakuwa na kazi ya ziada kusafisha ndani! Viongozi wa CDM kazeni boot sisi wananchi tuko tayari tunasubiri kauli yenu tuanze kazi ya fagia fagia!

watanzania wote watazimia kuona uovu mkubwa watabaki mafisadi wanashangaa,kama kweli leo uovu wao unafichuka angali wapo madarakani piga picha je watakapo ingia makamanda uovu huo utaonekenaje ,kweli inatisha na itatisha sana nakwambi anarudia watanzania watazimia kuona madudu hayo.
 
Hiyo tittle yako haijatulia, japo umejitahid kupanga hoja zako, big up sana. Pipoooz tutashinda.

Kichwa cha habari kinawatia hasira wazalendo, wanamapainduzi ,wanaotaka kuikomboa tanzania ,lakini mafisadi kichwa cha habari hiki kinawavuta na kufurahia wakiamini kuwa makamanda wanaharibikiwa kumbe tunamvuta fisadi akutane na nondo kama hii ni kwa makusudi kuwavuta watu wapate elimu kupitia hoja hiyo.
 
Safi sana mwandishi, umetuliza akili ukaleta kitu cha maana, nimependa staili yako ya uandishi, sio kila wakati uwe predictable...Viva m4c... Kwa ari hiyo hiyo, andaa hii topic ukai present kwenye magazeti ili Watanzania wote waisome. Wengi Elimu ya Uraia hawaifahamu, inakuwa tabu kidogo.
 
Safi sana mwandishi, umetuliza akili ukaleta kitu cha maana, nimependa staili yako ya uandishi, sio kila wakati uwe predictable...Viva m4c... Kwa ari hiyo hiyo, andaa hii topic ukai present kwenye magazeti ili Watanzania wote waisome. Wengi Elimu ya Uraia hawaifahamu, inakuwa tabu kidogo.

Nimepokea ushauri wako mzalendo tupo pamoja nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom