Shinto
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 1,781
- 96
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango yao bungeni hulenga zaidi kutafuta umaarufu wa kisiasa wa chama badala ya kutatua kero za nanchi wao majimboni kwao.
Wengi wao wakiulizwa hapa, hutoa majibu rahisi kuwa hawana dola hivyo hawewezi kutekeleza ahadi zozote za maendeleo majimboni kwa kuwa hawakusanyi kodi!
Swali ni je:
Wabunge wa CDM, Tafakari na muchukue hatua!

- Mtawambia hivyo wapiga kura wenu 2015? Kuwa hatukufanya lolote kwa kuwa hatukuwa na dola?
- Au mtaonesha kadi za CCM zilizorudishwa kwenu kama mafanikio yako ukiwa mbunge?