Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

Huma jf kuna majina yanayo ibuka pale selikali inapokosea ukisoma post zao zote huwa ni kutetea selikali, wachache wao hujaribu kujenga hoja kama huyu mleta mada, wengine ni ***** mtupu. Kwaufupi haya ni mausalama wa taifa yaliyolibemenda taifa, yanayo dhuru wafichua maovu na kutetea wezi ktk jina la usalama, NAUTANGAZA USALAMA WA TAIFA KUWA KUWA NI JANGA LA KITAIFA tumesha wajuwa tupambane nao kwa njia zote na tutashinda.
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

You Upload this for defamation isnt it ...Nonsenses ....!!!!!

AND so what?

Mod Freeze this thread immediately Please!!!!!
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Mmmm:A S 41:
 
Net personal worth ya Freeman Mbowe na baba Mkwe wake (Edwin Mtei) ni zaidi ya 50 million USD

Ndesamburo peke yake ana worth zaidi ya 100 million usd

achilia mbali hao vidagaa akina Zitto na wengine

CHADEMA uongozi wao wajuu peke yake hawashindwi kumlipia matibabu Dr Ulimboka huko India

na hii itaonyesha kuwa CHADEMA ni tofauti na CCM sasa sioni kwa nini watu wamekuwa sensitive hivi

umemsahau dhabodo!
ila cha kujiuliza kwa nini dr. Uli kawa mtaji ghafla? hivi kama dr. mwingine akipata ajali akaumia hali ita kua hivi? ama kweli hujafa hujaumbwa! tumuombee apone atueleze kilicho msibu!
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Kachukue buku kwa kazi nzuri kwa NEPI kwani umeshaleta huo umbeya.
 
Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

SIJAKUSOMA HAPO MKUU,, nifafanulie
 
Nadhani mleta mada ni kichaa mstaafu, kwa hiyo ameandika akiwa anakumbukia enzi zake za ukichaa.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Kwa namna ya kipekee kuna jitahasa kubwa za kuufanya huu mgomo wa madaktarti uonekane kisiasa, lakini ukweli utabakia pale pale, kinachoendelea ni serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake pamoja na kuboresha mazingira ya kazi. Busara ingetumia kutatua matatizo kuliko kuwekeza kwenye malumbano yasiyo na tija.
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Milion 7 zilimtoa roho akaavha ubunge, atakubali kutoa milion 20? =kuwa siriasi mkuu
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Ni wazo pia
 
Corbis-42-26291295.jpg
 
sishangai maana ndo waliomtuma , anatumika na cdm huyo nani hajuwi?

sidhani kama kweli umetuliza akili yako vizuri,ili ujue kitu cha kuandika maana ungekuwa umefanya jambo la busara kama ungetoa ushahidi hata kiduchu ni jinsi gani cdm wana husika.
 
Back
Top Bottom