Wabunge wa chadema hongereni

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Kutokana na hali ilivyo sasa huko bungeni mnaonekana hakuna wanaowapenda maana kila anaesimama lazima apige kijembe lakini kuna siku watawaelewa Kama vile wananchi wenu wanavyowaelewa wako pamoja nanyi msijikunyate jipeni moyo.
 
Wewe unafikiri moving from a single digit MPs (wale wajimboni) to more than 30 MPs ni kitu kidogo cha CCM kuwapenda. CCM wanahasira ya kupoteza majimbo, CUF, NCCR, TLP kiwivu cha kike kimewashika kooni............
 
siku zote mabadiliko hayaji kiurahisi rahisi there will be a price to be paid na chadema sasa hivi wanalipa kwa niaba ya sisi
wanyonge wa nchi hii kwa maana hakuna mtu wa kutusemea. Hongereni Chadema muelewe kuwa wananchi tupo bega
kwa bega pamoja nanyi na as long as mnapigania maslahi ya watu Mungu siku zote atakuwa pamoja nanyi.
 
sasa mi nashangaa kama CCM inaona CDM wamekwisha hofu yao nini? mijitu na akili zao badala ya kujenga hoja za kimaendeleo kila siku CHADEMA! CHADEMA!HALAFU NINYI HAMJUI MMEJIFUNGIA KWENYE HAKO KA MJENGO NA KUFIKIRI MNAFANYA VYEMA.MNGEJUA JINSI CHADEMA INAVYOPANDA CHATI MSISEME.NA BADO 2015 MTABAKI HARDLY 100.
 
Back
Top Bottom