Elections 2010 Wabunge wa chadema hongera kwa kuchangia zaidi bungeni.

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Ni kweli hata wabunge wa viti maalumu wa chadema wanachngia point kuliko wabunge wa viti maalumu wa CCM kama akina ESTER wanachangia kusifia tu. Wabunge wa CDM hongereni endelezeni mapambano lakini mkumbuke kushukuru vyombo vya habari na pia WANA CCM wamewaangusha waliowachagua maana wanaona budget ina kasoro lakini wanaunga mkono. Kodi ya mafuta ipunguzwe kama kweli wanataka kutupunguzia mzigo wananchi.



Nawakilisha.

CHADEMA DAIMA
 
Back
Top Bottom