Wabunge wa CDM,Wanaharakati,NGOs na Hasasi za Kimataifa!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,624
68,545
Tunaomba mtusaidie hili,

Hii serikali inataka kupitisha sheria kwamba mwanachama wa mifuko ya hifadhi hatoweza kuchukua mafao yake mpaka hatimize miaka 60.

Hii kitu ni uonevu na dhuruma kwa wanachama na wategemezi wao(watanzania) kwa ujumla,mafao nakatwa mie iweje unaniladhimisha yaje kunisaidi nikifika miaka 60?

Kuna mtanzania wa sasa ambaye ana uhakika wa kuishi zaidi ya miaka 50? CHADEMA tunaomba mlisimamie hili lisipitishwe sisi huku mtaani tutawelimisha wananchi waone serikali yao inavyofanya.

Tuitose hii serikali ya mabwepande maana haina uchungu kwa wananchi wake wanajali mamitambi yao tu.

Nawasilisha
 
Hii ni maandalizi ya dhuluma kwa wafanyakazi,na hii mifukp ni kama vile iko kwa ya serikali na si wanachama wake.
 
NINA mpango wa kuongea na mwajiri wangu, anipe changu mkononi baada ya kodi tu....
Life expectancy ni 57yrs!
 
Ndugu Mtoa Hoja, Kwa kweli hii ni Moja ya dhuluma Kubwa anayoweza Kufanyiwa Mfanyakazi wa private sector kwani katika Mazingira ya Kawaida Mtu anapewa Mkataba wa miaka miwili!! na yeye anakubaliana na mwajiri alimbikiziwe mapato ya kumsaidia pindi amalizapo Mkataba!! Na huwa hivyo!! Iweje Hawa Jamaa wachukue Haki ya mwajiriwa? Kwani sio lazima mtu kufanya kazi ya mkataba hadi age ya 55 or 60!!
Pia Ikumbukwe Kwenye Hii nchi wabunge Huchukua chao mapema kila baada ya mkataba wao wa awali Kuisha say 5 years election time!! sasa iweje kwa sisi walalahoi iwe Tofauti? wakati sisi ni mkataba sawa na wao watungasheria??
 
NINA mpango wa kuongea na mwajiri wangu, anipe changu mkononi baada ya kodi tu....
Life expectancy ni 57yrs!

Hela zetu tulizochanga kabla ya sheria mpya tuzichukue then ndio wapitishe hyo sheria yao ya miaka 60!
 
Ndugu Mtoa Hoja, Kwa kweli hii ni Moja ya dhuluma Kubwa anayoweza Kufanyiwa Mfanyakazi wa private sector kwani katika Mazingira ya Kawaida Mtu anapewa Mkataba wa miaka miwili!! na yeye anakubaliana na mwajiri alimbikiziwe mapato ya kumsaidia pindi amalizapo Mkataba!! Na huwa hivyo!! Iweje Hawa Jamaa wachukue Haki ya mwajiriwa? Kwani sio lazima mtu kufanya kazi ya mkataba hadi age ya 55 or 60!!
Pia Ikumbukwe Kwenye Hii nchi wabunge Huchukua chao mapema kila baada ya mkataba wao wa awali Kuisha say 5 years election time!! sasa iweje kwa sisi walalahoi iwe Tofauti? wakati sisi ni mkataba sawa na wao watungasheria??

Well said mkuu,serikali inataka kutudhulumu wafanyakazi mafao yetu,hatutokubali kamwe,waende kuchukua fedha uswiz,waende kuchukua bil64 za EPA walizompa mtoto wa kaya,Hii sheria wakiipitisha wafanyakazi wote tz tunagoma hakuna kufanya kazi 24 tunashinda CDM square kujua mustakabali wa mafao yetu.
 
Mimi ndiye muasisi wa huo mswada. Na hii ni kwa sababu serikali imeshatumia hizo pesa zenu kwa safari za viongozi na miradi binafsi na nyingine tumeweka kule Uswisi. Sasa kuchelea serikali kuumbuka tukaona tupeleke huo mswada haraka haraka kuzuia wafanyakazi kulipwa kabla ya kufikisha umri wa miaka 60.
 
Hii dhuluma iliyo wazi kabisa!,huwezi lazimisha mtu afanye kazi ya kuajiriwa hasa kwenye hizi sekta binafsi hadi umri wa miaka 60!!!!!!!! Hakuna mwenye uhakika wa kufika huko!!! Ni kwamba pesa zimewaishia kutokana na serikali kuzikopa kila kukicha na hawana namna ya kuzirudisha hivi karibuni,so wanachofanya ni kutupia mzigo kwa utawala ujao wakijua fika kabisa hawatakuwa madarakani!!!!
 
Tunaomba mtusaidie hili,

Hii serikali inataka kupitisha sheria kwamba mwanachama wa mifuko ya hifadhi hatoweza kuchukua mafao yake mpaka hatimize miaka 60.

Hii kitu ni uonevu na dhuruma kwa wanachama na wategemezi wao(watanzania) kwa ujumla,mafao nakatwa mie iweje unaniladhimisha yaje kunisaidi nikifika miaka 60?

Kuna mtanzania wa sasa ambaye ana uhakika wa kuishi zaidi ya miaka 50? CHADEMA tunaomba mlisimamie hili lisipitishwe sisi huku mtaani tutawelimisha wananchi waone serikali yao inavyofanya.

Tuitose hii serikali ya mabwepande maana haina uchungu kwa wananchi wake wanajali mamitambi yao tu.

Nawasilisha

umenifuraisha hapo kwenye serikali ya mabwepande!
 
Sipati picha waliopigia kura CCM wakoje hapa. Imefikia sehemu tuseme basi. Unajua kuna siku watakuja kutuuza hawa na sisi tumo humu humu TZ.
 
Back
Top Bottom