Wabunge wa CCM wamuhakikishia Waziri wa Fedha kuwa bajeti yake itapita

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Nimefuatilia kwa kiasi bajeti zote mbili ya upinzani na ya serekali iliyopo madarakani.Nimesikia michango ya wabunge wa pande zote mbili,Nimemsikiliza sana Zito Kabwe na wenzake.Natumaini upinzani wametumia wigo mpana zaidi wako hatua kama hatua mbili mbele zaidi ya wenzao pengine ni mapema au wakati muafaka.

Ila waliowengi watakuja kuielewa na kuanza kuipinga/kuikataa bada ya kuja kuchambua bajeti za kila wizara,kwa hiyo ikifikia kipindi wataielewa.

CDM NA UPINZANI wako mbele na wameanza kwa upeo mkubwa mno kuichambua.Tuwa sikilize kwa makini walio na upeo mkubwa wakichangia tutawaelewa wanacho kitaka kwa watanzania na maendeleo ya chi.

Mh Zito nimekusikiliza kwa makini sana katika kipindi cha Jambo TBC leo asubihi na Mh Mnyika nimekusikia asubihi hii Chanel TEN.
 
Mkuu weka alichokisema zitto na alichokisema Mwigulu,ila naungana nawewe kuwa watu wengi watakuja kujua late hours kuwa CDM nawapinzani wengine walikuwa sawa.
Kumbukeni asilimia kubwa ya wabunge wa nyinyiemu wanafuata mkumbo na ni wachumia tumbo
 
Tuna tatizo kubwa sana, Wabunge wengi wa CCM wanajadili 'sectors' na miradi ya majimboni kwao badala ya kujadili bajeti. Wanatakiwa waangalie mapato na matumizi, na sio barabara za jimboni, au mbolea. Hivi vitakuja wakati wizara husika inajadiliwa. Spika anatakiwa asaidie hili maana watapitisha bajeti bila kujadili.
 
jana nilifurahi sana wakati mheshimiwa peter msigwa akichangia alisema nchi haihitaji maombi ila wanatakiwa kupractise principle za economics tu ili kuiinua uchumi wa taifa letu na akeenda mabli zaidi na kusema kuwa maombi ni kwa ajili ya watu wasinzi na washerata(sijui alikuwa anamlenga nani) na akasema ataendelea kuelimisha wabunge wengine ili kuleta maendeleo ya dhati.
 
Alicho ongea leo asb Zitto tbc ,kimenifanya niamini kuwa kuwa ccm lazima ujifunze kuwa mwongo hata kwa kile ulicho andika mwenyewe, Zitto ametuthibitishia kwamba serikali haikutenga fedha za maendeleo zinazotokana na mapato ya ndani. Tofauti na Nchemba alivodanganya kwa kutumia kitabu cha kingereza huku kitabu kilichoandika kwa kiswahili kinasema vile Zitto alivosema hazikutengwa fedha za maendeleo zinazotokana na mapato ya Ndani. Kingine cha Kijinga ambacho Nchema ameendelea kukifanya nikuendelea kujisifu kwamba yeye alipata A kwenye Uchumi na kwamba amemzidi Zitto kwakua yeye ana Masters, Nchemba hakika hana lolote
Mkuu weka alichokisema zitto na alichokisema Mwigulu,ila naungana nawewe kuwa watu wengi watakuja kujua late hours kuwa CDM nawapinzani wengine walikuwa sawa.
Kumbukeni asilimia kubwa ya wabunge wa nyinyiemu wanafuata mkumbo na ni wachumia tumbo
 
jana nilifurahi sana wakati mheshimiwa peter msigwa akichangia alisema nchi haihitaji maombi ila wanatakiwa kupractise principle za economics tu ili kuiinua uchumi wa taifa letu na akeenda mabli zaidi na kusema kuwa maombi ni kwa ajili ya watu wasinzi na washerata(sijui alikuwa anamlenga nani) na akasema ataendelea kuelimisha wabunge wengine ili kuleta maendeleo ya dhati.

Kaka kumbuka uchaguzi mdogo Igunga, kiongozi wa CCM wa kampeni alifumaniwa na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa kada mwenzake ktk chama. CCM yaani uzinzi hata kwa kada mwenzake ambaye pia mke wake ni kada. Leo Jamaani anasema kwa niaba ya serikali anasema sana juu ya bajeti.
 
Tatizo wabunge wengi wa ccm ni wanafiki sana wanaongea wasichoamini!!!!!!!! hivi kweli mbunge unasimama unaanza kumsifia waziri wa fedha na jopo lake kuwa wamekuja na budget nzuri, dakika mbili baadae unaanza kulalamika wananchi wa jimboni kwako ni masikini sana!!!! hapa ndipo napata shida sana kuwaelewa baadhi ya wabunge wa ccm
 
Maga,
Hawajitambui so far, wameweweseka
 
Tuna tatizo kubwa sana, Wabunge wengi wa CCM wanajadili 'sectors' na miradi ya majimboni kwao badala ya kujadili bajeti. Wanatakiwa waangalie mapato na matumizi, na sio barabara za jimboni, au mbolea. Hivi vitakuja wakati wizara husika inajadiliwa. Spika anatakiwa asaidie hili maana watapitisha bajeti bila kujadili.

Ni spika yupi unamuona anaweza kusaidia hapo? Labda wakamkodishe spika kutoka Bunge la Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kaka kumbuka uchaguzi mdogo Igunga, kiongozi wa CCM wa kampeni alifumaniwa na mke wa mtu, mbaya zaidi mke wa kada mwenzake ktk chama. CCM yaani uzinzi hata kwa kada mwenzake ambaye pia mke wake ni kada. Leo Jamaani anasema kwa niaba ya serikali anasema sana juu ya bajeti.

mkuu ni nani huyo aliyefumaniwa na mke wa kada mwinzie naomba utujuze kiongozi
 
Mchumi Daraja la Kwanza wa BOT. Mtetea bajeti kuliko Waziri wa fedha lakini yeye sio waziri, mweka hazina wa chama.

nashukuru mkuu nimekuelewa lakini naona sasa watakuwa na wakati mgumu hadi ifike september itakuwa shida kweli kweli
 
Back
Top Bottom